Wanawake msikate tamaa, mwaka 2018 nilivunja ndoa ya dada yangu. Tuna vijana wa hovyo sana kama taifa

Mkuu kwanza nikupongeze kwa hatua zote ulizo fanya kama kaka au na familia ya kumnusuru huyo dada Yako Iko hivi hiki kizazi Cha saiv kimeharibika chote si swala la jinsi kingine kwenye mambo ya ndoa Kuna mengi na vita ni vingi sana si akili zako tu ndo zinaweza kukuokoa mnaweza kuwa wote mpo vizuri lakini ki akili na kimadili lakini bana kwenye ndoa huwa lazima Kuna vipindi vigumu sana na mkiweza kuvuka salama ndio huwa mtihani Kuna watu unawaona saiv wapo pamoja na huoni kasoro zao saiv lakini wakikuambia alichopitia unaweza kukuta hicho alichopitia dada Yako ni kidogo inamaan wangechukua washuri kama wako kipindi kile saiv ndoa isingekuwepo
Kingine mm sipendi watu wanavyopima mafanikio baada ya kuachana kwenye ndoa kwa kuangalia upande wa uchumi tu hapana uchumi ni sehemu lakini isiwe kigezo tu pekee Cha kujivunia eti baada ya kuachana nae saiv ipo hivi wazazi wetu wengine hawakuwa na uchumi mkumbwa sana lakini tumekua saiv tumeona faida kubwa za ndoa zao na kudumu kwao pamoja kutulea kwa pamoja ni kitu ambacho najivunia sana
Mpaka Leo naamini kwamba mtoto Bora ale ugali dagaa wiki nzima ila yupo kwako kwa baba na mama...
 
Ila inawezekana bwana shemeji alikua na nia njema ya kuwajibika kwa ajili ya família yake na alikua na uhakika wa kumfanikishia mkewe hilo, ila shetani mvuruga mipanga akaingilia kati kuvuruga malengo ya bwana shemeji, pole kwao kwakweli
 
Pamoja na hayo kuna msela anamkula dada yako na anahongwa tu
 


Kama watakusikiliza sasa? Mpaka wajaribu, waharibu maisha
 
Mkuu Heshima kwako,

Katika yote, Bwana Shemeji alikuwa anampiga sana, na nimesuluhisha sio mara moja.

Sasa hata uchumi ukiyumba hakuna shida, shida ni kuiba na kupeleka pesa za mwanamke kwa mabaa medi.
 
Huu uzi ufanyiwe lamination,, by the way starehe kubwa ya majobless huwa ni ngono na starehe in deep jobless ni wavivu sana kufanya kazi ndo wanaotuhatibia dada zetu.
 
Mamzi naye alikuwa pot?
 
Mkuu Heshima kwako,

Katika yote, Bwana Shemeji alikuwa anampiga sana, na nimesuluhisha sio mara moja.

Sasa hata uchumi ukiyumba hakuna shida, shida ni kuiba na kupeleka pesa za mwanamke kwa mabaa medi.
Kwa hayo maamuzi Yako hakikisha unabeba majukumu ya shemeji Yako yote usiishie njiani.
 
Yani umefanya jpili yangu imekua njema sana. Kwa niaba ya wenzangu kina To yeye Tunakushukuru sana. Ungekua jirani nngekununulia bia
 
chai
 
Watu wamelisha miaka. Ni hulka ya mtu tu. Muhimu heshima na upendo
 
Kurudi usiku mkali nayo ni kitu ya kuvunja ndoa?? Si tungekuta ndoa za bibi na babu zetu zimevunjika??
Soma thread yote mkuu. Hujaona vipigo hapo? Tunazika wanawake wangap wanaouwawa kwa vipigo?
 
Soma thread yote mkuu. Hujaona vipigo hapo? Tunazika wanawake wangap wanaouwawa kwa vipigo?
Nimesoma dada, ila kusema ukweli watu wengi wanajiingiza kwenye ndoa kwa sababu ya msukumo kutoka kwenye jamii au familia. Usipokuwa makini unaweza kuangukia kwa mwanaume/mwanamke ambaye atakufanya ujute maisha yako yote. Pole kwa dada wa mtoa mada kama story ni ya kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…