Wanawake msikate tamaa, mwaka 2018 nilivunja ndoa ya dada yangu. Tuna vijana wa hovyo sana kama taifa

Kwo ulivomtoa dadako kwa mmewe unamkaza wew ama?? Yaani unajikuta una akili kumbe chenga tupu,,,,ulimtoa kwa mlevi kesho upwiru ukimkaba anapelekewa moto na kibaka nani mjinga saga?
 
Mwenyekiti wa vijana wa hovyo nakukumbusha kuambatanisha uzi wako na risiti ya kulipia tangazo tafadhali.

Anatuchukulia Poa sie vijana wa ovyooo [emoji23]
Itabid tufanye counter offensive kwa single maza
 
Moyo wa binadamu kichaka. Kuna pretenders. Mtu anakuja kwako na malengo ya kuoa. Full husband material unasema Mungu kajibu after ndoa balaa linaanza. Tusali sana
 
Bhana bhana, tukamtumia Sista gari aondoke hapo aje nyumbani, maana jamaa angeweza muua kwa vipigo
Nyie nae wazembe kweli mngeenda kumfata dada yenu na huyo mlevi mkampa makofi ya kutosha na hata polisi mnapeleka kaiba kadi
 
Yote kwa yote USIJICHANGANYE UKAOA SINGLE MAZA.utajuta sanaa.Haijalishi hana maisha au ana pesa.Singe maza ni CERTIFIED TROUBLEMAKERS
 
Una uhakika wameachana?
 
Soma thread yote mkuu. Hujaona vipigo hapo? Tunazika wanawake wangap wanaouwawa kwa vipigo?
Acha mambo yako wewe, kwani wanaume wangapi wamekufa kwa masaibu ya wake zao..? Au unajifanya na vichenji vyenu kumnyanyapaa msela mbona mwanzo umesema alikua fresh tu anamhudumia dada Ako na mtoto wake,nini kimetokea hapo katikati?

Tatizo lako una kiherehere na ndoa ya dadaako,we huna mke nini upambane na familia yako,mtafte mwanaume mwenzako muongee sio unajitia kidume kuliko aliemkuna dadako kitandani mpaka akamzalia,na uyo dada yako mahali pa kushtaki ilipaswa akapeleke malalamiko kwa wakwe zake yaani kwa mumewe maana huyo sio wa kwenu tena .....wewe kaa kwa kutulia ushaharibu ndoa ya watu...dada ataendelea kuzini tu kwa upuuzi wako

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Mkuu hivi unakumbuka jana tuu uliandika hivi 👇
Hapo ni kama unataka kuhama nchi kwasababu ya mvua....

Embu tulia kwenye ndoa mjenge familia.

kwenye huu 👇 uzi?

 
Keep it up... sista wetu

Hizo nyau sinazoitwa shemeji ndio zinanichelewesha kuoa, the way walivyooa sista zangu na zinavyowapelekesha yaani ni kuna vijanaume vya ovyo sanaa siku izi
 

Dunia ilipofikia ni pagumu.
Moja Kati ya vitu ambavyo Binti za Tibeli hataruhusiwa kunyang'anywa ni Uhuru wake wa kufanya kazi, Uhuru wake wa kufikiri na kuchagua yaliyo mazuri, kamwe Binti za Tibeli hawapigwi. Ni aidha uchague ukae Jela walau miezi sita na mitama juu.

Hata hivyo wapo mabinti wanaosumbua Mno. Ila Kwa asilimia kubwa chanzo huwa ni Sisi wanaume.
 
Za kuambiwa...........anaweza akawa nyumbani vijana wakajisevia bila gharama
 
Sawa dada ako chakula anapata na kulala analala vzr tu

Ila kuna huduma inakosekana hapo kwake

Mtafutie mume mwema ampe huduma iyo la sivyo ataishia kwenye uzinzi tu
 
Inaonekana mambo yaliharibika Sana baada ya Mtu mmoja kuingia Ikulu 2015.....
Ilikuwa kilio Kwa wafanyabiashara Wengi
Bwana Yule alichangia pia ndoa yangu kuvunjika 2018 baada ya biashara zangu kufeli Vibaya.[emoji29][emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…