Wanawake msikate tamaa, mwaka 2018 nilivunja ndoa ya dada yangu. Tuna vijana wa hovyo sana kama taifa

Unavunja ndoa ya mtu eti kisa mdogo wako huyo mdogo wako mzigo kweli anakubali ndoa yake iingiliwe na mtu mwengine, wewe kazi yako ilikiwa kutoa ushauri tu ila kuchukua maamuIzi yeyote ya vitendo Ni yeye au mumeozesha mwanafunzi.

Halafu inaonesha una-treat huyo mdogo wako kama mtoto asiyekuwa na maamuzi yake mwenyewe hadi leo hii umeonesha uliposema umesikia anataka kuolewa ukaahangaa jambo kwasababu haukuepo akaolewa....As if unamuongelea mtoto wa shule.
 
Bado akili yako ni ya kitoto! Wanasema binadamu haishi kwa mkate tu.
 
Huyu jamaa hamnazo kweli. Hilo kwa dada yake ni muhimu kuliko pesa. Tunao hata watoto wetu ambao wana kila kitu ila ikifika wakati lazima waondoke maana hiyo kitu ni muhimu kwao
 
Huyu jamaa hamnazo kweli. Hilo kwa dada yake ni muhimu kuliko pesa. Tunao hata watoto wetu ambao wana kila kitu ila ikifika wakati lazima waondoke maana hiyo kitu ni muhimu kwao
Waache waendelee kukaza fuvu wakidhani ukali na ubabe unasaidia kwa dunia ya sasa..
Ndo hao anafika 40's anaanza kutembea na vitoto vya miaka 20 kukata kiu yake kingono.
 
yaani muandika uzi ni arrogant na janamke la hovyo kumliko yeyote...na nahisi atakuwa mchaga wa machame, na ni single maza, au dungayembe ambalo haliwezi katu kuolewa...unajisifia kuvunja ndoa ya dadako?? hiyo ndoa haijavunjika dada maana hakuna sehemu umesema talaka imetolewa na mahakama, wewe unakaa na mke wa mtu, huyo mumewe kuwa mlevi hujauliza ni kwa nini!? wanaume wanapitia mengi kwenye ndoa mpaka kuwa depressed....na hakika hata mimi ningekuwa na mwanamke wa mentality yako hakika tungebadilishana majengo ya serikali
 
Kilichounganishwa na Mungu mwanadamu amekatazwa kukitengenganisha wee jimwambafai kusherehekea kuvunja ndoa ya dada yako na kusababisha mtoto kukosa kutengwa na baba yake ,huyo dada yako siku akifa hao wanae watarudi kwa baba yao na wewe na hao watoto watakulaani maisha yao yote watakuja kujua wewe ndie ulitenganisha ndoa ya Wazazi wao
 
Ushampa Mtaji wa maana na biasharaa ila bado HUJAMTAFUTIA MWANAUME WA MAANA unaeona atakufaa wew na yeye[emoji3][emoji3][emoji3] Maana wanawake wakipata hela wanatakaga wapate mwanaume wa kumshikaa masikioo
 
Kanuni ya ndoa inasema nitakuwa na wewe ktk shida na raha.

Ulipata wapi jeuri ya kuvunja kanuni mama ya ndoa?.
Shida na raha sio ulevi na umalaya na kupigana mwilini mwisho kuuana au ulemavu wa kudumu...
Binafsi kitu pekee naweza vumilia ni mtikisiko wa kiuchumi na mtikisiko wa kiafya..nje ya hapo kila mtu akasumbue familia yake alikozaliwa
 
Umeongea point, changamoto ni nyingi lakini kumpiga mtu is very extreme. Mtu wa hivyo hashindwi kukutia ulemavu wa kudumu au kukuua kabisa... sasa hao watoto unadhani watalelewa vizuri?
Kula ugali na dagaa huku watoto wakiwa na amani na kuona upendo katikati ya wazazi wao wala sio ishu kabisa... kuliko unakula ugali na dagaa huku baba anarudi amelewa ni vipigo na matusi, aisee huo ni ujinga wa kiwango cha lami.
 
Hujaambia wakitingwa watumie njia gan kumaliza nyege
 
Ndo ujue watu ni wanafiki... wanapenda shauri wenzao vitu ambavyo wao hawawezi kuvifanya.

Maisha ya mahusiano mkishindwa kutatua matatizo yenu wenyewe basi ni udhaifu mkubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…