shuka chini
JF-Expert Member
- Feb 27, 2024
- 842
- 1,928
Usimfanyie hivyo mwanamke mwenzio jamani, amkanye huo mchezo ukiisha asicheze tena.Chukua hizohizo mkuu
So mkuu kwa muktadha huu wewe unajitoa pande zote?Mimi binafsi, Mwanaume na mwanamke ni viumbe viwili tofauti kabisa...Wana mambo Fulani ya ovyo sometime mpaka unaweza kuwa huyu anafikiri kama Mimi kweli?
Sema nimejikuta nacheka hapa kwenye hii paragraph... Maana option iliyopo ni moja tu, kwamba ni kuzichukua ila unataka ushauriwe uzichukue sasa hivi au usubiri subiri ziwe nyingi kidogo😂😂Sasa wadau nizichukue au nisubirie ziwe nyingi kidogo. Yeye mke wangu anajua sijui kama kuna mchezo wanacheza na hapa nataka nimpige marufuku.