Wanawake ndoa ni utii, acheni kujaza ujinga wadogo zenu

Ningekuwa na namba yako ningekupa bando la wiki
 
Umemaliza kila kitu mkuu
 
Paragraph ya mwisho ndo mnaishia kufa kwa stress au kujiua.

Tiba ya usaliti ni KISASI.
Haisaidii kitu, iwe kwa mwanaume au mwanamke. Mimi leo mwanamke akinisaliti na mimi nikalipiza kwanjia yeyote ile hata kwakusaliti, kisasi hakitanibadilishia taswira iliyojijenga kuwa mwanamke amenifanyia dharau mno. Yaani hata nilale na wanawake wa dunia nzima hiyo trauma haitanitoka kamwe maana ni point of failure ambayo kila nikiikumbuka sitaweza ibadilisha. Hivyo hata kumuangalia au kumsogelea sitaweza tena maana atakuwa alama ya udhaifu wangu. Kilichobora kwangu ni kukaa naye mbali sana ambapo sitamsikia wala kumuona, hivyo nitajitenga naye. Labda kwanyie wenzetu ni tofauti ila kisasi huangamiza roho, ni kama tone moja la mvua kwenye jangwa kubwa. Itakuuwa baadaye kwa guilt.
 
Hawatakulewa, tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…