Wanawake ni janga mwanaume ukiwa dhaifu utachenyentewa wazwaz na dharau juu, akisaliti muache on the spot vuta chuma mpya using'ang'ane

Nyakati hizi zimeshatabiriwa kitambo sana kuwa wanawake watakuwa na nguvu kuliko wanaume mpaka itafika wakati watakosa waume na itafika nyakati wanawake watakuwa wanataka majina ya wanaume hao yaandikwe kwenye nafasi ya majina ya baba zao
 
Mkuu ukikaa bila mwanamke unampa point nyingne kwamba unamsubiri arudi, embu tuzinduke jaman wanaume hakikisha wiki haiishi unachuma kipya hapo hata uko halipo atajua kwamba alkua anacheza na MTU katili sio dhaifu
Misimamo kama hii tungekua nayo wanaume wote hakika wanawake wangenyoka.
 
Mkuu ukikaa bila mwanamke unampa point nyingne kwamba unamsubiri arudi, embu tuzinduke jaman wanaume hakikisha wiki haiishi unachuma kipya hapo hata uko halipo atajua kwamba alkua anacheza na MTU katili sio dhaifu
Hapo umenena.
 
Back
Top Bottom