lunguzamnazi
Senior Member
- Sep 9, 2024
- 133
- 160
Kitabu cha wanaume 5 mstari wa nane unatamka nanukuu. Mwanamke aliyeolewa akimvulia nguo mwanaume asiye mumewe akazini naye ujue mwanamke huyo kampenda huyo mwanaume na atarudi tena baada ya fumanizi na ili amani irejee ni Bora mumewe amuache mwanamke huyo.
Mwisho wa kunukuu
NB mapenzi ni somo pekee lililowashinda wasomi
Mwisho wa kunukuu
NB mapenzi ni somo pekee lililowashinda wasomi