Wanawake ni janga mwanaume ukiwa dhaifu utachenyentewa wazwaz na dharau juu, akisaliti muache on the spot vuta chuma mpya using'ang'ane

Wanawake ni janga mwanaume ukiwa dhaifu utachenyentewa wazwaz na dharau juu, akisaliti muache on the spot vuta chuma mpya using'ang'ane

Siwezi jamni mi siwezi
😭😭😭😭😭
Mi napenda vibaya sana aisee nipo tayari nifanye lolote ili asije nichiti tena...
Kama tulipendana kwanini nimuache kwa kosa dogo tu la kupitiwa na shetani
Mambo ya kuachana ni utapeli
 
Kwasasa mapenzi hamna,uke ni bidhaa ya kununua! Na cheaters wapo kibao kibao,Cha msingi ni kuanzisha Tabia mpya hata ya kuzaa nje,coz mwanamke mapenzi yakiisha kwako anaanza kukuundia zengwe Kwa watoto wakuchukie hasta kama kosa ni lake!!

Kuwa multipurpose usietishiwa uke Wala watoto na uwe free radical yaani lolote linawezekana!!

Ukijua alikusaliti we mwachie hao jamaa waendelee nae na wewe endelea na mishe zako!akiamua kukaa akae akiamua kuondoka aondoke!
Hakuna haja ya makelele plus kesi kila siku ,unanyuti TU na ishu zako,after all madem kibao na yanatoa mapenzi kuliko hasta huyo ulienae anaekudharau ndani,ni kununua tu kama nyanya vile!!
 
Na sisi wenye ndoa kabisa ila tumetengana na wake zetu miaka miwili mitatu vipi ushauri gani unatupa?
 
Kama kawaida wanajeiefu tunaletewa tena lalamiko la walimwengu, na sisi tunalipokea nakukupa pole (hatuna baya).

Ila watu wataendelea kuoa, na watachapika kama ww tu, watakuja hapa kulalama kama ww natutawapa pole kwa kupigwa nakitu kizito(same old stories).

Au kuna kingine kipya mkuu?
 
umesha tendwa wewe sasa umeanza kulia nyau. kila siku tuna waambia KATAA NDOA, Kula nyama nyamaza.
 
Si kweli.
Nakuomba fanya utafiti kidogo,ndoa nyingi siku hizi zinabomolewa na wanawake kwa asilimia kubwa,elewa kwanza mwanaume hawezi kumuacha au kumsaliti mwanamke eti kwasababu hana pesa au maisha,lakini hicho ndio kilio cha wanaume wengi kwenye ndoa siku hizi!wanawake mnatufelisha sana haki.
 
Chuma mpya unayovuta imetoka kuachwa na jamaa yake kwa usaliti.
Mambo ni bambam
 
Back
Top Bottom