MawardatDellapina
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 30,232
- 152,252
Basi vumilieni,yatapita.Nakuomba fanya utafiti kidogo,ndoa nyingi siku hizi zinabomolewa na wanawake kwa asilimia kubwa,elewa kwanza mwanaume hawezi kumuacha au kumsaliti mwanamke eti kwasababu hana pesa au maisha,lakini hicho ndio kilio cha wanaume wengi kwenye ndoa siku hizi!wanawake mnatufelisha sana haki.