Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 18,719
- 60,636
sasa.....!!nini tena mamySawa 😂 sasa …..
sasa.....!!nini tena mamySawa 😂 sasa …..
Sasa ndiyo vile eti..sasa.....!!nini tena mamy
nakuja Lamama mda sio mrefuSasa ndiyo vile eti..
We unadhani ukimuacha mtu ndo hasara yae??!!! PoleMkuu ukikaa bila mwanamke unampa point nyingne kwamba unamsubiri arudi, embu tuzinduke jaman wanaume hakikisha wiki haiishi unachuma kipya hapo hata uko halipo atajua kwamba alkua anacheza na MTU katili sio dhaifu
Ah wikend hii mrembo leo ndio kazi ya kupeleka warembo kwenye maenwo wakaokote japo kitu kidogo. Hapa nikukesha mpaka saa 10 alfajiriWikiendi mfisadi wangu bado upo road?
Sawa Lababa🙂nakuja Lamama mda sio mrefu
🤣🤣🤣Wanatia aibu tuu. Nawashauri kila leo hapawanaume saka ngono mapenzi achana nayo hawasikii
UNafaidi kuliko wote Duniani.Ah wikend hii mrembo leo ndio kazi ya kupeleka warembo kwenye maenwo wakaokote japo kitu kidogo. Hapa nikukesha mpaka saa 10 alfajiri
Unajidanganya sana asilimia 99 ya hao mbwa urudi kuomba msamaha Tena Hadi kuroga wengne Hadi kuua ulokua nae ili yy arudi, najua ww n mwanamke hapo ulipo unaendeshwa na hisia na nyege lkn maisha ni zaidi ya kutombanaWe unadhani ukimuacha mtu ndo hasara yae??!!! Pole
Siku hizi mambo ni vice versa!
Wakati wewe unavuta chuma kipya ukidhani utamkomoa, huko mwenzio anajisemea "alijua kunibana mbwa yule bora nimepumua!!"
YA MOYONI MWAKO SIO YA MOYONI MWAKE
SawaUnajidanganya sana asilimia 99 ya hao mbwa urudi kuomba msamaha Tena Hadi kuroga wengne Hadi kuua ulokua nae ili yy arudi, najua ww n mwanamke hapo ulipo unaendeshwa na hisia na nyege lkn maisha ni zaidi ya kutombana
😂😂😂😂wanaume wanaongoza kwa kulialia/kuumizwa na mapenzi.
😂😂😂😂Ushapigwa jiwe la Utosi, pole sana Mkuu
SAWA mkuuWanaume wezangu mwanamke akikusaliti achana nae hakuna kubembeleza hata kama mna watoto 10 mmeishi miaka 12 usisamehe daima utajutia baadae, usaliti ni sawa na mchawi akianza kula nyama tu haachi kamwe.
Yangu hayo tu.
😂😂😂😂😂😂😂
Nafaidi wapi besty....wanao faidi ninwale naowapelekea kenge hizi zikagegedwe. Hapa nasubiria simu tuu nikawachukue niwarudishe makwao baada ya mbususu zao kushenyentwa vilivyo usiku.UNafaidi kuliko wote Duniani.
Unaishi kwa ajili yako si yake. Ukishaanza kufanya maamuzi yanayokuhusu kwa kumtazama uliyeachana nae ujue hujamuacha bado.Mkuu ukikaa bila mwanamke unampa point nyingne
Ila binadamu ni wabishi sana ,100% ya matatizo wanayatafuta wenyewe ..Wanaita uhuru ila wanajiepeleka kwenye matatizo.1. Amri ya Mungu – Kutoka 20:14
Hii ni amri ya 7 kati ya Amri Kumi. Inakataza waziwazi tendo la uzinzi kama dhambi dhidi ya Mungu na wanandoa.
2. Methali 6:32-33
Biblia inaonyesha kuwa uzinzi una madhara makubwa kiroho, kijamii, na kimwili.
3. Mathayo 5:27-28 – Mafundisho ya Yesu
Yesu alipanua maana ya uzinzi si tu kama tendo la mwili, bali hata tamaa ya moyo.
4. Waebrania 13:4
Biblia inahimiza heshima katika ndoa na onyo kali dhidi ya uzinzi.
5. Mathayo 19:9 – Sababu ya Talaka
Yesu anataja uasherati (usaliti wa ndoa) kuwa sababu pekee inayoweza kuhalalisha talaka