Wanawake ni viumbe hatari sana, nimemuona brother Mabeste chozi limetaka kunitoka

Wapi alipoandika Lita!?
 
Sijaelewa mkuu !!
 
Ulichoeleza hapa ndio kitu nafahamu. Labda kwa wasiomjua vizuri mabeste wanaweza kumtetea. Ila jamaa alikuwa kama parasite. Mwanamke lazima achoke tu
Boss mbona tunaishi na wanawake wakiwa mama wa nyumbani kwa muda hatuwaiti parasite Ila mume akikwama kidogo tu anakuwa parasite?.
Naomba nitoe somo la ndoa. Ndoa ni chombo mnakiingia humo ndani hampaswi kuishi kama wachumba humo mnakuwa mwili mmoja mambo ya hisia, huyu ajanifanyia hiki yuko hivi au vile mnayaacha nje humo ndani mnaunganishwa na jambo moja tu kupigana miti maadamu ni wazima wa afya na mmeshiba. Ndoa haipaswi kuingiliwa na inapaswa kuheshimiwa na watu wote na ukiingilia ujue una hatia. Ukisaidia wana ndoa saidia usepe usijipe umuhimu hata kidogo wa kutaka kuitibua la utakuwa ni mwenye hatia kubwa. Shida watu wanaingia kwenye ndoa bila ya kuijua ndio maana hiki chombo kinawatapika wengi nje na wengine wanaogopa kukiingia wakati kwa maoni sahihi ndoa ndiyo inayotunza mahusiano na kuyafanya kuwa salama zaidi maana inampa mtu unafuu wa kulipata tendo la ngono bila gharama na kwa usalama mkubwa. Kwenye ndoa pesa ya kusuka au kutengeza nywele sio lazima, outing sio lazima, kula kwa anasa sio lazima, mavazi ya gharama sio lazima, kuhonga hakuna, ni mahitaji ya msingi tu kama kula, kuvaa kulingana na uwezo wako na makazi basi.
Ningependa vijana wapate elimu kuhusu ndoa hakika tungejenga jamii nzuri yenye ustawi Bora.
 
Boss uelezee uzembe wa mwanaume hapo juu niujue ili nisije ufanya nikapigwa na kitu kizito
 
Weka vithibitisho hapa tutaamini vipi ulimkopea mwanaume pesa, alikushikia bunduki?
 
Nakumba hata hilo wazo la show alitoa huyu manzi alisema wakati akihojiwa naa clouds
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ