Kwa mbaliii you’ve talked something… pia kama wewe hapo ushakuwa na mentality ya ukiombwa pesa tu ni unakomolewa kitu ambacho sio kizuri, maana kuna mtoto wa mtu huko utakuwa unamkwaza balaa
 
Mi nimenyooka sana kama mtu simtaki namwambia na hela zake sichukui kabisa,, kama ni mtu wangu asipojiongeza, nakufaga na tabu zangu
Kwa upande wako upo tofauti Sana na wanawake wenzio wengi sio kwamba Wanaume hawapendi kuombwa ila wanachopinga kuombwa sana unakuta wiki 1 tu demu kakuomba kama Mara 4 hivi au siku 1 kakuomba vitu vingi Mara kodi, Mara hela ya salon au hela ya nguo.Kwa tabia uliyonayo wewe hata ukija kumuomba Mwanaume hiyo haina shida mwanaume atajua kweli unashida kwasababu huna tabia ya kuomba omba
 
Wakati ana nunua dstv alikushilikisha asikuumize kichwa block cm yako af unaiogopa?
 
Labda iwe shida ya kutishia uhai wa mtu, nilishashindwa kuomba cha mwanaume/mtu
 
Kwangu nimeona nipangue kila kirungu kinachokuja kwangu.jana nimeambulia virungu vinne vitatu nimechomoa kirungu Cha mwisho nikanasa..nisiseme sana maneno mengi humaliza buyu la asali..virungu vitatu vya jana [emoji116][emoji116]
 
Umenena aisee
 
Hapo kwenye kutatua shida zake bila kukusumbua ndo kumuomba mwanaume mwenzio ambaye huyo binti hampendi kivile
[emoji1787][emoji1787] then tunarudi pale pale lazima mwanamke ataomba pesaa kwa mwanaume

Kama hamtaki kutoa pesa then toeni matumizi walau kwa wiki au mwezi..
 
Sasa hiyo ndo entry fees ya mahusiano..Pengine hana hata shida nayo anakupima tu au hakutaki tu.Anakupiga mzinga ili umute na yeye amute
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…