Wanawake punguzeni kuomba sana hela, imekuwa kero
Nilitamani kutoa jibu la falsafa, lakini naona bado muda.. subr kidogo niendelee kuangalia mtanange
 
Kweli na nyie ifike mahala mwanaume kuchepuka muone jambi la kawaida. Mambo ya kuviziana usiku saa saba tumelala ndio mpekue simu zetu muache
Heheheee. Kikubwa Wacheni mkono wa birika.

Hizi blah blah zingine huwa ni hulka tu ya mtu.
 
Heheheee. Kikubwa Wacheni mkono wa birika.

Hizi blah blah zingine huwa ni hulka tu ya mtu.
Sawa na nyie pia acheni kumaindi mambo ya michepuko yetu. Cha msingi wewe na watoto wanapata huduma basi. Wacha mwanaume aburudike na mbususu
 
[emoji849]
Screenshot_20220716-101346_Twitter.jpg
 
Ukimtongoza binti au mdada leo, kesho yake wewe umekua sponsor, utaambiwa gesi na umeme vimeisha, anataka hela ya saloon, mafuta ya gari na service kama hilo gari analo,na wakati mwingine ata vitu vidogo vidogo kama vouchers, yaani invoices ni nyingi mpaka unashangaa alikua anaishije kabla haujakutana nae.
Nina demu Moja ninae Sasa yapata week ananambia nimlipie deni lake la Songesha elfu54. Sijajibu sms zake Toka Jana

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Wakuu Habari zenu!!

Kiukweli wanawake wamekuwa omba omba Sana yaani ukienda WhatsApp Wanawake wanaomba hatari.. ukikaa Kidogo kwenye SMS utasikia nikwambie kitu kumbe unaombwa hela.

Jamani nyie Wanawake mmekuwa kero kuliko hata wale wa barabarani Bora hela yangu nimpe yule mtoto mdogo ombaomba kuliko wewe jituzima tena umeolewa, unafanya kazi, pesa ya bando la WhatsApp unayo halafu unaomba omba.

Hakuna mwanaume anayependa kutoa Hela.. maana wote mlipewa Viuongo sawa, mikono, miguu, Akili n.k ili mfanye kazi sasa.. wanawake Akili zao kuomba omba tu.

UTAFITI
Asilimia kubwa wanaojiuza ni wanawake na ukiwauliza watakuambia wanashida na Fedha.

Sasa swali MBONA wanaume hawajiuzi kama Nyie wanawake kutanda barabarani.. means wanaume wa Akili Sana ya kutafuta Pesa au ni vipi??

UKWELI MCHUNGU.. WANAWAKE ACHENI KUOMBA OMBA MMEKUWA KERO

Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
View attachment 2297118
Ni aibu sana wanawake yunajidhalilisha sana..... Sa hv nishaona mdada Kazi anayo lkn kuomba omba kuko pale pale ni aibu sana aiseh
 
Mmoja juzi kati tumefahamiana yaani amenikera sana usiku saa 6 akaomba 5000 ya bando kisa eti ameboreka maana kifurushi ktk dstv kilikata.kesho yake asubuhi natakiwa nilipie dstv nikapiga chenga nikamwambia mimi nimeshindwa kulipia azam itakuwaje nimlipie akajibu wewe hujalipia maana sio kipaumbele ,sasa hadi leo nadaiwa pesa ya king'amuzi.imebidi niiogope simu yake
 
😀 😀 😀 😀
 
Kuna baadhi ya wanaume mnawadhalilisha sana wanaume wenzenu ambao wanajielewa mtu kuomba umsaidie sijui km anamaanisha amekuwa omba omba na wakat tunanduguzetu wengi wa kiume tunawapiga tafu sana tu

Kma hunaela tafuta ela na utapata tu Mungu atakusaidia ila mnatubully sana aisee vitu vingine ni vidogo mno na vya kawaida kabisa
Sister hujamwelewa mtoa mada na hujui majanga tunayokumbana nayo wanaume wakati wa kutongoza.

Mtu anakuomba hela ila ukimwalika mahali kama kwenye mgahawa ku-spend time na ww hataki, kwenye chating anajibu sms kama unamfosi.. leo akiomba elf 20 ukimpa, kesho ataomba elf 15, kesho kutwa ataomba tena elf 30, Unapata feeling kama vile anakukomoa, hapo hata kama una million 90 kwenye account ukiombwa elf 10 lazma uje kuanzisha uzi jf

Mwanamke asipokupenda ni hasara sana sophy27
 
Umeandika kwa simanzi 🤪 poleni bana
 
you have concluded everything,
It's a War between broke guys Vs slay queens.
Now I got the name of the war, thanks to you
Depal amadala to yeye Shida sio ninyi kuomba pesa, By nature sisi wanaume tunapenda sana kuwapa hela wanawake tunaowapenda.

Shida kubwa ni kuwa Wanawake wengi tunaowatongoza mnatuomba hela kwa nia ovu ya kutukomoa, na si kwamba mna shida kweli, na sisi wanaume tuna-sense hicho kitu, niliprove hicho kitu kwa kusoma kitabu kimoja kimeandikwa na mdada wa kimarekani Baje Fletcher cha jinsi ya kuwachuna wanaume pesa bila kutoa papuchi, nikasema this is A sick world.

NB:
Mwanaume kukunyima hela haimaanishi he is broke, ingawa wengi wetu tuko broke
 
Back
Top Bottom