Simu yako ni laki 980000 haya ila jua hili asilimia 60 kwenye mia walahi naapa wanaume niomba omba humu na pengine pia.
Just imagine mwanaume anakupigia simu babe naomba unitumie vocha unamtumia babe naomba unitumie nauli auhi unatuma babe nimekwama naomba elfu 25,000 naomba vocha ya 10 voda nusu na tigo nusu weeh kanifanya crdb au benki ya ujamaa .
Hapana aisee basi tuachane hivi nyie mamarioo unadhani mtu mwenye hela angekuwa yupo home sianaomba tu .
Eti wanawake ni omba omba sio kama nyie aisee na ukipata fulsa unaitumia kwa maana mwenzako ataitumia tu epuka kuchunuwa ewe mwanamke kwa sababu tuiadhibiwa kuzaa kwa uchungu tu iweje tunakubali kuwalea hadi wanaume??