Wanawake punguzeni kuomba sana hela, imekuwa kero
Ukimtongoza binti au mdada leo, kesho yake wewe umekua sponsor, utaambiwa gesi na umeme vimeisha, anataka hela ya saloon, mafuta ya gari na service kama hilo gari analo,na wakati mwingine ata vitu vidogo vidogo kama vouchers, yaani invoices ni nyingi mpaka unashangaa alikua anaishije kabla haujakutana nae.
Anakuambia kuwa kwani wewe ulikuwa unaishije kabla hujamtongoza mkuu
 
Kuwa na wanawake hata wa5 hivi utakuja nishukuru.

Kingine katika hao watano usiwafuatilie, wewe ukitaka show pigia simu mmoja mmoja atakaetiki lala nae
 
Ukimtongoza binti au mdada leo, kesho yake wewe umekua sponsor, utaambiwa gesi na umeme vimeisha, anataka hela ya saloon, mafuta ya gari na service kama hilo gari analo,na wakati mwingine ata vitu vidogo vidogo kama vouchers, yaani invoices ni nyingi mpaka unashangaa alikua anaishije kabla haujakutana nae.
Mi nahisi kuna shule watakuwa wanafundishwa, maana style yao almost wote inafanana...
 
Simu yako ni laki 980000 haya ila jua hili asilimia 60 kwenye mia walahi naapa wanaume niomba omba humu na pengine pia.
Just imagine mwanaume anakupigia simu babe naomba unitumie vocha unamtumia babe naomba unitumie nauli auhi unatuma babe nimekwama naomba elfu 25,000 naomba vocha ya 10 voda nusu na tigo nusu weeh kanifanya crdb au benki ya ujamaa .

Hapana aisee basi tuachane hivi nyie mamarioo unadhani mtu mwenye hela angekuwa yupo home sianaomba tu .

Eti wanawake ni omba omba sio kama nyie aisee na ukipata fulsa unaitumia kwa maana mwenzako ataitumia tu epuka kuchunuwa ewe mwanamke kwa sababu tuiadhibiwa kuzaa kwa uchungu tu iweje tunakubali kuwalea hadi wanaume??
 
Attachments

  • Screenshot_20220719-214826_Chrome.jpg
    Screenshot_20220719-214826_Chrome.jpg
    54 KB · Views: 23
Back
Top Bottom