Wanawake punguzeni kuomba sana hela, imekuwa kero
Ni kweli kabisa

Hasa mkiwa na chura ...ni motivation tosha kwetu

Yaani Unauza nyumba ya wazee wako kijijini bila wao kujua ili imradi pesa ipatikane ...wakitimuliwa watasaidiwa na halmashauri


Kweli ukiachia pesa magari na nyumba ni wanawake [emoji39]

na mwaka huu lazima niamie singida au mahenge ulanga
😂😂
 
Wakuu Habari zenu!!

Kiukweli wanawake wamekuwa omba omba Sana yaani ukienda WhatsApp Wanawake wanaomba hatari.. ukikaa Kidogo kwenye SMS utasikia nikwambie kitu kumbe unaombwa hela.

Jamani nyie Wanawake mmekuwa kero kuliko hata wale wa barabarani Bora hela yangu nimpe yule mtoto mdogo ombaomba kuliko wewe jituzima tena umeolewa, unafanya kazi, pesa ya bando la WhatsApp unayo halafu unaomba omba.

Hakuna mwanaume anayependa kutoa Hela.. maana wote mlipewa Viuongo sawa, mikono, miguu, Akili n.k ili mfanye kazi sasa.. wanawake Akili zao kuomba omba tu.

UTAFITI
Asilimia kubwa wanaojiuza ni wanawake na ukiwauliza watakuambia wanashida na Fedha.

Sasa swali MBONA wanaume hawajiuzi kama Nyie wanawake kutanda barabarani.. means wanaume wa Akili Sana ya kutafuta Pesa au ni vipi??

UKWELI MCHUNGU.. WANAWAKE ACHENI KUOMBA OMBA MMEKUWA KERO

Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
View attachment 2297118
Imekuwa kero.....kama taifa inabidi tujadili hili.
 
Kuna baadhi ya wanaume mnawadhalilisha sana wanaume wenzenu ambao wanajielewa mtu kuomba umsaidie sijui km anamaanisha amekuwa omba omba na wakat tunanduguzetu wengi wa kiume tunawapiga tafu sana tu

Kma hunaela tafuta ela na utapata tu Mungu atakusaidia ila mnatubully sana aisee vitu vingine ni vidogo mno na vya kawaida kabisa
Ndyoooph shangazi akeee.
 
Mkuu Eli naelewa fika na ndio maana ulaya mtu kuanzisha mahusiano hovyo hovyo ni ngumu huwa wanaheshimu sana hili swala kwasababu wanaelewa shida ya 50/50 tofauti na huku

Huku unakuta mtu ana wanawake 04 na kuendelea sasa hapo unategemea nini hali yenyewe ndio hii kila mtu anavutia kwake

Yan kwakifupi mtu wa aina hii hajui thamani ya mahusiano, hajitambui na hayaheshimu mahusiano yenyewe.
Ndio ukaamua kutumia kajina kangu ka zamani mkuu[emoji23][emoji23].
Hata hivyo nimekuelewa hoja yako vizuri mkuu[emoji122]
 
Mwanzilishi wa hii mada inatakiwa ujiulize ww binafsi.
Je ulishaomba wanawake wangapi mapenzi? Tusisemee madhaufu ya wadada zetu wakati sisi wanaume ndio wachikiliaji bango la sababu kuombwa pexa na wanawake kila kukicha
Na tujiulize sisi wanaume kwanini tunakua na papara la kutaka kufungua kufuli la mwanamke mliokutana mara moja?
Tusiwaponde wanawake kua ombaomba wakati chanzo cha ombaji tumekishikilia sisi wanaume....
Kila upande ujitafakari.
Hamna shetani wala daika ktk ulimwengu wa leo ....
 
Wanaume tunazidi kupotea.
Kumbuka kwenye biblia Mungu alimwambia Nini Adam na Hawa aliambiwa Nini.
Mwanamke kapewa uzuri,umbo la kuvutia lakini hajaumbwa kutafuta.
mwanamke anatakiwa akae nyumbani apelekewe kila kitu.
Ndo maana sisi waislam tumeruhusiwa kuoa wake 4.kupunguza GAPE la wanawake ambao hawajaolewa na hawana vipato.
Wewe ni limbukeni, haujui maandiko na unadanganywa. Wanawake wanatumia udhaifu wetu na ni viumbe hatari sana. Nenda kasome
 
Back
Top Bottom