Basi kama ni hivyo asilimia 98 ya wanawake wa Tanzania hawawapendi wanaume wao.
Maana ni karibu wanawake wote wa Tanzania wana kero hii.
Mbona mimi nikipataga wanawake wa Kenya kero hii huwa siipati?ina maana wanawake wa Kenya wananipenda na kunijali sana kuliko wadada wananchi wenzangu wa Tanzania?
Hii tabia inatia kichefuchefu sana sema wanaume tunamezea tu kimyakimya hatupendi makelele.
 
hahahahahaha
 
we umenisanua,kumbe ndio hv? Ndo maana naonaga bora kuwa bahili tu
 
Tatizo mbususu tamu ndio maana tunamezea tuu ili tupate utelezi
 
 
Hahhh hiyo ndiyo sababu inayopelekea nisitongoze kabisa bora nivumilie kuwa single kuliko kusumbuliwa sumbuliwa kila saa hawa viumbe MUNGU anawaona sikuizi wamegeuza miili yao kama sehemu ya kipato inasikitisha sana.
 
Wapo wana shida na wapo ni tabia zao
 

hatari wanawake siku hizi wamekuwa omba omba wananitia hasira sana yaan mwanamke ukumuondoa K walai hana cha kujivunia maishani mwake
 

uwajui wanawake wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…