mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 23,965
- 131,949
Tuma na yakutolea,Mambo mrembo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuma na yakutolea,Mambo mrembo
Mmezidi baadh yenu kuwa ombaombaUkigeuka huku wanawake Kule wanawake hapa wanawake pale wanawake [emoji3061]
Tupumzisheni basi
Kwa tako lako skonsi wala siwezi bisha maana ulivyo mtamu wacha tuu nitume ya kutoleaTuma na yakutolea,
[emoji3064][emoji3064]Kwa tako lako skonsi wala siwezi bisha maana ulivyo mtamu wacha tuu nitume ya kutolea
Haujatulia. wanawake wote wako!!!!Kwangu nimeona nipangue kila kirungu kinachokuja kwangu.jana nimeambulia virungu vinne vitatu nimechomoa kirungu Cha mwisho nikanasa..nisiseme sana maneno mengi humaliza buyu la asali..virungu vitatu vya jana [emoji116][emoji116]
View attachment 2297376View attachment 2297377View attachment 2297378
Basi kama ni hivyo asilimia 98 ya wanawake wa Tanzania hawawapendi wanaume wao.Mwanamke ukiona anakuomba sana hela jua hajakupenda ila antaka apate tag kutoka kwako...
mwanamke anaekupenda kwa dhati hawezi kukuomba hela Kila mara kwa sababu zifuatazo.
1. Kutokana na upendo wake wa dhati kwako anaona aibu kukuomba hela hata kama anashida kiasi gani atatafuta namna nyingine ya kutatua shida yake.
2 .kutokana na upendo wake Wa dhati ataogopa kukuomba hela kwa kuhofia kukupoteza maana anajua inaweza kupelekea mwanaume kumuacha.
hahahahahahaUkimtongoza binti au mdada leo, kesho yake wewe umekua sponsor, utaambiwa gesi na umeme vimeisha, anataka hela ya saloon, mafuta ya gari na service kama hilo gari analo,na wakati mwingine ata vitu vidogo vidogo kama vouchers, yaani invoices ni nyingi mpaka unashangaa alikua anaishije kabla haujakutana nae.
we umenisanua,kumbe ndio hv? Ndo maana naonaga bora kuwa bahili tuMwanamke ukiona anakuomba sana hela jua hajakupenda ila antaka apate tag kutoka kwako...
mwanamke anaekupenda kwa dhati hawezi kukuomba hela Kila mara kwa sababu zifuatazo.
1. Kutokana na upendo wake wa dhati kwako anaona aibu kukuomba hela hata kama anashida kiasi gani atatafuta namna nyingine ya kutatua shida yake.
2 .kutokana na upendo wake Wa dhati ataogopa kukuomba hela kwa kuhofia kukupoteza maana anajua inaweza kupelekea mwanaume kumuacha.
Tatizo mbususu tamu ndio maana tunamezea tuu ili tupate uteleziBasi kama ni hivyo asilimia 98 ya wanawake wa Tanzania hawawapendi wanaume wao.
Maana ni karibu wanawake wote wa Tanzania wana kero hii.
Mbona mimi nikipataga wanawake wa Kenya kero hii huwa siipati?ina maana wanawake wa Kenya wananipenda na kunijali sana kuliko wadada wananchi wenzangu wa Tanzania?
Hii tabia inatia kichefuchefu sana sema wanaume tunamezea tu kimyakimya hatupendi makelele.
Sister hujamwelewa mtoa mada na hujui majanga tunayokumbana nayo wanaume wakati wa kutongoza.
Mtu anakuomba hela ila ukimwalika mahali kama kwenye mgahawa ku-spend time na ww hataki, kwenye chating anajibu sms kama unamfosi.. leo akiomba elf 20 ukimpa, kesho ataomba elf 15, kesho kutwa ataomba tena elf 30, Unapata feeling kama vile anakukomoa, hapo hata kama una million 90 kwenye account ukiombwa elf 10 lazma uje kuanzisha uzi jf
Mwanamke asipokupenda ni hasara sana sophy27[/
[/QUOTE][/
[/QUOTE]
Mbna umeongea Kwa huzuni hivo jmn
Tunazo sema sio za ku share na nyieHela zenyewe hamna na bado mnatusimanga
Hahhh hiyo ndiyo sababu inayopelekea nisitongoze kabisa bora nivumilie kuwa single kuliko kusumbuliwa sumbuliwa kila saa hawa viumbe MUNGU anawaona sikuizi wamegeuza miili yao kama sehemu ya kipato inasikitisha sana.Ukimtongoza binti au mdada leo, kesho yake wewe umekua sponsor, utaambiwa gesi na umeme vimeisha, anataka hela ya saloon, mafuta ya gari na service kama hilo gari analo,na wakati mwingine ata vitu vidogo vidogo kama vouchers, yaani invoices ni nyingi mpaka unashangaa alikua anaishije kabla haujakutana nae.
Wapo wana shida na wapo ni tabia zaoWakuu Habari zenu!
Kiukweli wanawake wamekuwa omba omba Sana yaani ukienda WhatsApp Wanawake wanaomba hatari.. ukikaa Kidogo kwenye SMS utasikia nikwambie kitu kumbe unaombwa hela.
Jamani nyie Wanawake mmekuwa kero kuliko hata wale wa barabarani Bora hela yangu nimpe yule mtoto mdogo ombaomba kuliko wewe jituzima tena umeolewa, unafanya kazi, pesa ya bando la WhatsApp unayo halafu unaomba omba.
Hakuna mwanaume anayependa kutoa Hela.. maana wote mlipewa Viuongo sawa, mikono, miguu, Akili n.k ili mfanye kazi sasa.. wanawake Akili zao kuomba omba tu.
UTAFITI
Asilimia kubwa wanaojiuza ni wanawake na ukiwauliza watakuambia wanashida na Fedha.
Sasa swali MBONA wanaume hawajiuzi kama Nyie wanawake kutanda barabarani.. means wanaume wa Akili Sana ya kutafuta Pesa au ni vipi??
UKWELI MCHUNGU.. WANAWAKE ACHENI KUOMBA OMBA MMEKUWA KERO
View attachment 2297118
Sawa🤣Mmezidi baadh yenu kuwa ombaomba
Hivi Hao wanawaomba kilasiku huwa ni wapenziwenu marafiki au mnamahusiano gani??Mimi Sina Tatizo na Mwanamke Anaye Omba Hela, Ila Nina Tatizo na Mwanamke Anaye Penda Kuomba Omba Hela Kila Siku.
Ilo ndo la msingi tutafute tu alafu kuomba ela Kwa mtu ni kero sana masimango ndo zaidiJifunzeni kutafuta hela zenu wenyewe bila kutupiga mizinga ilu muepukane na masimango.
Umesahau mkuyengeHa ha ha ndio udhaufu wetu huo, haya ila punguzeni kutianzishia nyuzi Mfanye Hela kama sehemu ya WOMAN BASIC NEED
Ukimtongoza binti au mdada leo, kesho yake wewe umekua sponsor, utaambiwa gesi na umeme vimeisha, anataka hela ya saloon, mafuta ya gari na service kama hilo gari analo,na wakati mwingine ata vitu vidogo vidogo kama vouchers, yaani invoices ni nyingi mpaka unashangaa alikua anaishije kabla haujakutana nae.
Mwanamke ukiona anakuomba sana hela jua hajakupenda ila antaka apate tag kutoka kwako...
mwanamke anaekupenda kwa dhati hawezi kukuomba hela Kila mara kwa sababu zifuatazo.
1. Kutokana na upendo wake wa dhati kwako anaona aibu kukuomba hela hata kama anashida kiasi gani atatafuta namna nyingine ya kutatua shida yake.
2 .kutokana na upendo wake Wa dhati ataogopa kukuomba hela kwa kuhofia kukupoteza maana anajua inaweza kupelekea mwanaume kumuacha.