so unataka kusema wanawake wanauza miili yao
Sharti na mti unapoupanda hakikisha unaumwagilia maji ili uweze kumea vyema,
sasa kama wewe unajua wanauza miili yao hilo mimi halinihusu,
Mwanamke anapaswa kulelewa kudekezwa kupewa hela hata bila kuombwa nk,
sasa kama unaona ugumu kutafuta hela halafu unakuja kuanzisha nyuzi wanapenda hela basi fungua kanisa uwe mchungaji wakupe hela full stop
 
Akiyekwambia kuna mwanamke ana mapenzi ya kweli nani?
 
Sawa hali imekua ngumu, lakini sasa ndio nyie wanawake mtugeuze sisi wanaume kitega uchumi chenu. Badilikeni aisee, vinginevyo mtakosa wa kuwaoa kwa wanaume kuwaogopa

kabisa wabadilike kabisa
 
ukiombwa ela na mtu unayemjali at the right time unampa tu hakuna shida... kwanza kuna ile feeling ya mwanaume ukiwa unatatua matatizo na ku provide security unajiskia vizuri flan... tumeumbiwa kuwa providers iko hivyo hauwez kimbia uhalisia
 
Kuwa na wanawake hata wa5 hivi utakuja nishukuru.


Kingine katika hao watano usiwafuatilie, wewe ukitaka show pigia simu mmoja mmoja atakaetiki lala nae

sawa sawa
 

[emoji23][emoji23] ndugu unafeli sana nina simu 5 hiyo Samsung ndo simu ya kuchat chat ushubwada na ndo namba ya michepuko so simu isikuumize kichwa kabisa leo nimekujibu na iphone kesho ntakujibu na tecno
 
kuna utofauti wa kuomba ndugu
1. kuna kuomba kwa kumfata mtu face to face au ubapigiwa simu ya maongezi( hii ndo serious mtu ana shida kweli)

2. kuna nikwmabie kitu ( hii wanatumia waunii tu wasiokuwa na mbele wala nyuma.. hii ni utapeli)
Ooh sawa
 

kweli kabisa
 

mnachanganya sana kwani penzi ni hela? maana nikiitaji vocha nitatoa pesa sasa Hilo penzi limekuwa bidhaa?
 
Ifikie hatua muone ni jambo la kawaida. Sababu tangia muanzage kulalamika si leo.

hakuna kuona kawaida... mwanamke ni kama mwizi tu ukimpa hela unabaki nyuma kuendelea kupambana wakati ile uliyompa inekupigisha hatua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…