Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sharti na mti unapoupanda hakikisha unaumwagilia maji ili uweze kumea vyema,so unataka kusema wanawake wanauza miili yao
Akiyekwambia kuna mwanamke ana mapenzi ya kweli nani?Mwanamke ukiona anakuomba sana hela jua hajakupenda ila antaka apate tag kutoka kwako...
mwanamke anaekupenda kwa dhati hawezi kukuomba hela Kila mara kwa sababu zifuatazo.
1. Kutokana na upendo wake wa dhati kwako anaona aibu kukuomba hela hata kama anashida kiasi gani atatafuta namna nyingine ya kutatua shida yake.
2 .kutokana na upendo wake Wa dhati ataogopa kukuomba hela kwa kuhofia kukupoteza maana anajua inaweza kupelekea mwanaume kumuacha.
Sh. Ngapi unataka?naomba hela
Simu yako ni laki 980000 haya ila jua hili asilimia 60 kwenye mia walahi naapa wanaume niomba omba humu na pengine pia.
Just imagine mwanaume anakupigia simu babe naomba unitumie vocha unamtumia babe naomba unitumie nauli auhi unatuma babe nimekwama naomba elfu 25,000 naomba vocha ya 10 voda nusu na tigo nusu weeh kanifanya crdb au benki ya ujamaa .
Hapana aisee basi tuachane hivi nyie mamarioo unadhani mtu mwenye hela angekuwa yupo home sianaomba tu .
Eti wanawake ni omba omba sio kama nyie aisee na ukipata fulsa unaitumia kwa maana mwenzako ataitumia tu epuka kuchunuwa ewe mwanamke kwa sababu tuiadhibiwa kuzaa kwa uchungu tu iweje tunakubali kuwalea hadi wanaume??
Ooh sawakuna utofauti wa kuomba ndugu
1. kuna kuomba kwa kumfata mtu face to face au ubapigiwa simu ya maongezi( hii ndo serious mtu ana shida kweli)
2. kuna nikwmabie kitu ( hii wanatumia waunii tu wasiokuwa na mbele wala nyuma.. hii ni utapeli)
Wanaume tunazidi kupotea.
Kumbuka kwenye biblia Mungu alimwambia Nini Adam na Hawa aliambiwa Nini.
Mwanamke kapewa uzuri,umbo la kuvutia lakini hajaumbwa kutafuta.
mwanamke anatakiwa akae nyumbani apelekewe kila kitu.
Ndo maana sisi waislam tumeruhusiwa kuoa wake 4.kupunguza GAPE la wanawake ambao hawajaolewa na hawana vipato.
Mwanzilishi wa hii mada inatakiwa ujiulize ww binafsi.
Je ulishaomba wanawake wangapi mapenzi? Tusisemee madhaufu ya wadada zetu wakati sisi wanaume ndio wachikiliaji bango la sababu kuombwa pexa na wanawake kila kukicha
Na tujiulize sisi wanaume kwanini tunakua na papara la kutaka kufungua kufuli la mwanamke mliokutana mara moja?
Tusiwaponde wanawake kua ombaomba wakati chanzo cha ombaji tumekishikilia sisi wanaume....
Kila upande ujitafakari.
Hamna shetani wala daika ktk ulimwengu wa leo ....