🤣🤣🤣Jamaa umemind kinoma
 
Lakini pia root of the problem ni mwanaume...mwanaume kisa ana gari ana vihela bac anaona kutongoza ni kwa vijana maskini anarusha tu vihela Mara laki ya kununua mihogo Mara elfu 50 ya vocha so obviously mademu watanogewa kukausha damu...so Cha muhimu ni wanaume kua na msimamo afu tuone wataenda wapi ila shida ndo hiyo wanaume wengi wavivu kuegage na demu anaona ni kupoteza mda so anatumia tu hela
 
Wanaume wa aina iyo nao pia ni tatizo.
 
Hii ndio pointi kuliko zote
 
Noma sana!
 
*****...mguu bara mguu pwani....
 
Mimi kuhonga ni moja ya starehe zangu mwanamke akionesha kunipenda namuogopa nakimbia .napenda date malaya walio straight..jaribu nenda wavuvi chagua kali mpaka kwa mpalange unapewa siku hiyo hiyo.na asubuhi unakunywq nae supu unampa hela yake .no stress na mkikutana hadi mnakumbatiana 1 love
 
Sasa hawa kausha damu ni makahaba wa kimya kimya. Mwanamke malaya wa kugongwa usiku na kuondoka asubuhi anataka apewe huduma kama za mke.
 
majinga sana haya yamekua speed hatari .afu uki kaza lina nuna utazani lime wekeza
 
Mkuu futa kauli,yaani Depal huyu huyu?Walahi nlikuwa nampango wa kupiga chata,Sasa itakuwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…