Abby Uladu
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 2,194
- 4,549
UmepuyangaMwanamke ndoto yao kubwa ni kuolewa na kujenga familia
Wanaume wengi sisi ni waongo na hatuna mpngo wa kuoa , sasa wanawake na wao wameamua wasikose vyote, pesa ama ndoa.
Wanachofanya ni sawa kabisa na sisi ndio tumetaka iwe hivyo ,cha muhimu apo tafuta pesa ,malalamiko hayatasaidia tena .
Itakuwa upo miongoni mwao[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumekuchaaaa!, mbna ghaflaa sanaa??
Huu mwaka uishe tyuuh wallah, khaaah
Akili ikizidi Sana ni ujinga Tu.Unapokuwa unapambana na tatizo lazima ujikite kuangalia njia bora ambazo hautoumiza watu na wewe hautojiumiza.
MTU kuwa msomi na akawa kibaka hiyo 'Ari' inaweza kusababishwa na mambo mengi Sana ikiwemo kukosa insight, personal growth, deep thinking, addiction , stress &depression hivyo huyo ni mwathirika a victim anabidi kupewa second chance to restore his or her mind.
As well MTU kuwa ,mdangaji ,Malaya , kausha damu n.k moja kwa moja huyo ni victim Mwathirika anabidi kupewa more second chance.
Watu wamekwama mkuu kuanzia mentally , spiritual, financially , they are no longer thinking effectively hivyo kuendelea kulaumu na kuwaita majina mabaya unabidi kujua unakosea Sana. tena Sana.
Ebu jiulize swali hao wadangaji wapi huwa wanawekeza their money baada ya kuhongwa ? Means they earn a lot of money but they end up being broke and depressed year to year .
Also njoo kwa vibaka where they spend their money after does damn ? Means wanatumia the all money they earn kununua Malaya , pombe , Kubeti, and other shit.
So the solution to deals with these such kind of people is to unlock their mind first. And give them second chance before the mob justice (killing) to take place.
We need to be creatures of logic and not Emotions
Huo ni mwanzo tu.Akili ikizidi Sana ni ujinga Tu.
Hiko kimombo unaona umetema madini enh?
Any way umesema kweli
JichanganyeMkuu futa kauli,yaani Depal huyu huyu?Walahi nlikuwa nampango wa kupiga chata,Sasa itakuwaje?
Majinga sana haya"Na nyie wanaume wajinga mnaojikuta gentlemen na kuingia gharama kuwafurahisha hawa indirect prostitutes nawaambieni ukweli hawa kausha damu wanawaona mafala tu na wataendelea kuwatumia kwa masilahi yao kwa sababu ya ujinga wenu"
Sahihi kabisa na hum wapo wengi Sana wa Aina hio tena wachafu balaa
Hela tunatafuta, sema unatoa kwa mpalange kwa shilingi ngapi tuongee biashara.Malalamiko ya hivi huwezi kuyapata kwa mwanaume mwenye pesa.
Tutafute hela jamani tuache kufokafoka kama umbwa.
🤣🤣🤣Umepuyanga
Duh uyo jamaa ni mkoloni aisee.wanapalilia/wanalima ?A.k.a Marejesho.Jamaa yangu anakausha damu yake ukishindwa kulipa unapelekwa shambani unakatiwa kipande chenye thamani ya ela iliyobaki au uliyokopa.Wamama wamejaa Shambani utafikiri wako Manamba.Ila cha Kushangaza Kuna wake za watu ambao wamekopa ila waume zao hawajui.
Hapa ndipo unapofeli mtu anaandika hoja badala ya kuijibu unakimbilia kutukana comments zako nyingi unaishia kutukana tu sasa nani atazitilia maanani nyuzi zako, utaishia kuambiwa tafuta pesa upunguze makasiriko wanawake wataendelea tu kuhongwa upende usipende haijaanza leo wala haiishi kesho, walikuja wengi kama wewe na nyuzi kama zako mwisho wa siku wakapotea na hiyo lifestyle inaendelea so nigga stay calm and save your energyWewe ni mmoja kati ya wanaume wajinga niliowasema hapo juu.
Je hao wanawake waliokuwa waongozwa na upendo walifanyiwa yepi mema in return na wanaume wao, zaidi ya wanaume kuwachezea tu na kisha kuwatukana kwamba wanawake ni viumbe wanaojirahisisha kwa kutoa bure, hivyo wanawake wakaona kwanini wapoteze nguvu kwa viumbe wasio na shukrani wakaamua waanze kutoza hela na matokeo yake ndio haya wanaume kujilizaliza na kujilalamisha kama vivulanaZamani wanawake walikua wanaongozwa na upendo mambo ya kupewa mahitaji na vizawadi vya hapa na pale zilikua kama hamsha hamsha tu za kunogesha mapenzi hawakuchukulia kama ni mambo ya lazima kupewa na boyfriend ila kwa sasa wanawake wameyafanya mapenzi kuwa ajira na wanafikiri kupewa hela na mwanaume ni haki yao ambayo lazima waipate.
Buddah sasa si uachane na hao malaya uoe ili uhudumie mkeoWakishampukutisha mwana pesa yake ya kubet aliyompiga mhindi wanahamia kwa mwingine sasa huo kama sio umalaya ni nini? halafu midomo mirefu eti mwanamke anatakiwa kuhudumiwa. Yaani malaya anataka apewe huduma za hadhi ya mke, this is total bullshit.
Hiyo mijimama iliyotumika na kuchoka nayo ndio mbususu unazojisifia kwamba unachakata, unalalamika wanawake kuhongwa wakati huo wewe mwenyewe ulisema unatembea na mijimama ili ikuhonge sasa hapo tofauti yako na hao wanawake iko wapi au unawaonea wivu tu, wewe mwenyewe mdangaji tu halafu kutwa kuwasema wadangaji wenzio hebu tafuta pesa kijana stress zitakuuaIzo ni fikra zenu msiojiamini na ambao mnaangaika kuficha udhaifu wenu kwa kutumia pesa. Binafsi siongi na mbususu nazichakata kama kawaida. Ni suala la kumuweka wazi mwanamke principles zako kuanzia mwanzo kwaiyo atachagua mwenyewe aishi humo au asepe
Wewe ni mwanamke au mwanaume?Je hao wanawake waliokuwa waongozwa na upendo walifanyiwa yepi mema in return na wanaume wao, zaidi ya wanaume kuwachezea tu na kisha kuwatukana kwamba wanawake ni viumbe wanaojirahisisha kwa kutoa bure, hivyo wanawake wakaona kwanini wapoteze nguvu kwa viumbe wasio na shukrani wakaamua waanze kutoza hela na matokeo yake ndio haya wanaume kujilizaliza na kujilalamisha kama vivulana
Hivi inakuaje mnakua na mahusiana na hao malaya??🤣Wakishampukutisha mwana pesa yake ya kubet aliyompiga mhindi wanahamia kwa mwingine sasa huo kama sio umalaya ni nini? halafu midomo mirefu eti mwanamke anatakiwa kuhudumiwa. Yaani malaya anataka apewe huduma za hadhi ya mke, this is total bullshit.