Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Wanawake wote wanaomba hela, akishajuantu unayo, Ile ya kwake awwke akiba lakini anataka kutumia ya kwakoHakuna mwanamke wa level yoyote Ile , mwanamke ni mwanamke tu .
Kumwekea mwanamke level ni utapeli tu kama mwingine.
Kila mtu ana level yake, kuna demu n level yako na kuna demu sio level yako.Hakuna mwanamke wa level yoyote Ile , mwanamke ni mwanamke tu .
Kumwekea mwanamke level ni utapeli tu kama mwingine.
Unafumba machoTena Bora akiomba wa kike unampa na unamfanya kama liability kwamba kuna kesho atakufaa.....
Kuliko Hawa madogo wanashinda dm kila siku kuomba 10 10 wanakera unawapa hela na unajua itakua scarcity
Nikitaka kumaanisha shobo. Imagine mtu anakufuata wewe Mrs ndege mdinya huku akitumai ya kwamba atakupata, hiyo si shobo kabisa aisee!Shombo gani tena hilo ba mjengo?
Yeah, shobo.Shobo
Shobo tena kubwa tu waambie wazibalance kabisaaNikitaka kumaanisha shobo. Imagine mtu anakufuata wewe Mrs ndege mdinya huku akitumai ya kwamba atakupata, hiyo si shobo kabisa aisee!
Wanawake gani ninawashobokea? mbona sina khabari?Wewe mbona unawashobokea wanawake ambao siyo size yako, sisi tunakuthale tu
All in all wote ni omba omba au sioKila mtu ana level yake, kuna demu n level yako na kuna demu sio level yako.
Kama hutaki, acha.
Lamomy kwa mfanoWanawake gani ninawashobokea? mbona sina khabari?
Waache kabisa kwa maana kila wakikujia lazima watoke nunge.Shobo tena kubwa tu waambie wazibalance kabisaa
This is ideal not realityMwanaume, kama mtoto wa kike ambaye si ndugu yako wala dada yako amekuomba hela, usitoe tu kiholela.
Hakikisha:
1. Una cash mkononi.
2. Yeye ndiye aje kuichukua.
3. Sehemu mnayokutana isiwe na watu wengi.
Usitoe hela kindezi kwa sababu tu umeombwa.
Acha diplomasia kwenye pori la vita. 😄
Wengine wanahitaji kufundishwa kwa vitendo, si kwa maneno matamu.
Kila senti unayotoa iheshimu wewe si shirika la misaada!
Zingatia haki sawa, 50/50, win win situation. Kula nile.
Hapa unazungumzia kuanzia shilingi ngapi za kitanzania🙄Mwanaume, kama mtoto wa kike ambaye si ndugu yako wala dada yako amekuomba hela, usitoe tu kiholela.
Hakikisha:
1. Una cash mkononi.
2. Yeye ndiye aje kuichukua.
3. Sehemu mnayokutana isiwe na watu wengi.
Usitoe hela kindezi kwa sababu tu umeombwa.
Acha diplomasia kwenye pori la vita. 😄
Wengine wanahitaji kufundishwa kwa vitendo, si kwa maneno matamu.
Kila senti unayotoa iheshimu wewe si shirika la misaada!
Zingatia haki sawa, 50/50, win win situation. Kula nile.
Huyo ni wangu mbona, tena ananielewa kinomaLamomy kwa mfano
Acha kuwa kiazi na kumpa faida mtu anaye enda chooni kama weweMm nadhani wanaume tupunguze shobo kwa wanawake ambao sio level zetu.
Kama level yako ni demu wa buku utampata tuu.
Ulitaka wapende nyasi mkuu?Ila wanawake sikuizi wanapenda hela jamani.
Kama una hela utatomba mpaka uchoke.
Maelezo yote haya ukute umeombwa buku teni tuMwanaume, kama mtoto wa kike ambaye si ndugu yako wala dada yako amekuomba hela, usitoe tu kiholela.
Hakikisha:
1. Una cash mkononi.
2. Yeye ndiye aje kuichukua.
3. Sehemu mnayokutana isiwe na watu wengi.
Usitoe hela kindezi kwa sababu tu umeombwa.
Acha diplomasia kwenye pori la vita. 😄
Wengine wanahitaji kufundishwa kwa vitendo, si kwa maneno matamu.
Kila senti unayotoa iheshimu wewe si shirika la misaada!
Zingatia haki sawa, 50/50, win win situation. Kula nile.
Hata kama ni bukuHapa unazungumzia kuanzia shilingi ngapi za kitanzania🙄
Acha shobo kwa mwanamke asiye level yako, utabaki kulalamika kama mtoa madaAcha kuwa kiazi na kumpa faida mtu anaye enda chooni kama wewe