Wanawake punguzeni kuomba sana hela, imekuwa kero

Muache aendelee kuwapa pesa akitegemea atapewa mbunye, atakuja kushtuka akiwa amebakizwa mifupa šŸ˜‚
 
Ila huyo demu aliyekunyoosha, amebarikiwa kuliko wanawake wote, na aendelee kukunyoosha hv hv mpaka upate akili timamu šŸ˜‚
Aninyooshe nani kwa mentality niliyo nayo mimi. Kwani sex ni dhahabu nikae nalilia kama boya ulivyo wewe.?
 
Aninyooshe nani kwa mentality niliyo nayo mimi. Kwani sex ni dhahabu nikae nalilia kama boya ulivyo wewe.?
Mm nalialia nn wakat ww ndo unajipa matumaini hapa baada ya kupigwa na hujapewa uchi.

Mm siwez kumshobokea demu asiye level yangu.
 
Kama huna hela achana na madem. anaeza kuja akachukua iyo hela na usimfanye chochote. Wanawake siku zote wako mbele ya muda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…