Wanawake punguzeni kuomba sana hela, imekuwa kero


Kwangu mimi mwanangu haitaji kwanza kutunzwa na binadamu mwingine.............
Mwanangu kaanza kujihudumia kipitia kipaji chake toka akiwa 16 na sasa yuko 20th na kipaji chake kimempa vingi sana ambavyo hata hapa jf wanavihangaikia.
Yes!!! mimi naelewa mwenye pesa atamtunza na hata mnafikia tofauti na maskini akiingia katika maisha ya tofauti...

My dia mimi sijatumika na nimetumia ............
Na nilipo kwa sasa ni ndoto ya wengi kufika.
 
Yeah na sisi baba wa watoto wa kike tuwatengenezee future nzuri watoto wetu , pale palipo na mwanamke ombaomba kuna baba mpumbavu
Teach your child self reliance mapema bwashee the world outside ukimkuta by any chance hana support atalazimishwa na dunia kuuza utu wake.
 
Acha kujitapa wewe were here for a discussion and not self reassurance...

Wewe Unge likuwa na mindset ya hela usinge kuja na hoja uchwara humu.. Am not judging your personal life BTW..
Ila ulivyosema kila mtu atafute boya wa kuruka naye as if watu ni kama bidhaa za kuchagua nilikutoa katika wanawake wanao jitambua moja kwa moja.

Sasa kama ulitumia, hukupelekewa moto kisawasawa? Na haupati regret ndani ya nafsi jinsi ulivyo kuwa unageuzwa na kuombwa kama ukoko?

Acha kujitapa kama debe tupu wewe. Aliyefanikiwa huwezi ona anaringa alicho nacho bali tabia na matendo vitamwelezea hata watu wasipo ona alicho nacho.
 
We tangu jana nyuzi hii ya 3 na hutaki kuungwa?
Kwa nini waunge na huku hoja ni tofauti? Ila muktadha ule ule...mbona kuna nyuzi nyingi za Lissu na hazija ungwa..?

Hapa kuna kusudi sio bure
 
Dhana ya kuwa omba omba kuna wakati wala sio makosa ya wazazi.

Kiafrika mwanamke anajua yeye ni wa kupewa tu, kwamba ukiwa nae umhudumie, ni haki yake na wajibu wako. sasa hili tatizo kulimaliza sio kazi ndogo.
Ila kumilikiwa na kuwa chini ya mwanaume na kufuata utii wanapinga?
 
Ili wachukue tahadhari kuwafundisha wengine yasiwakute, kuwa single maza ni mtihani mkubwa sio Tanzania Tu hata Marekani
Unaweza mshauri mtu kashakuwa inlove?

Nilipokuwa nasoma nilikuwa nakazi ya kushauri mabinti nikiona tu wanahangaika na bfs wao mara waishi sogea tukae, ila wanakujibu raha ya ngoma uingie ucheze mwenyewe sio kusimliwa, wakawa wanancheka tu, mtu akishazaa ndio akili zinakuja. Huyo mmoja kanipa kisa chake juzi nimeishia kumuhurumia tu, kwahiyo endeleeni kupigia mbuzi gitar!
 
Like... mfano mimi ni single mother unipopoe, halafu niende kuwatahadharisha wengine wasiwe single mother kwa sababu kuna kupopolewa?
Ni kitu ambacho hakiwezekani after all kila mtu ana story yake nyuma ya kupata mtoto, wao wamekariri tu as if maisha yana formula! Wanahisi ukifuata formula ndio yatakunyookea kumbe hakuna!
 
100% uko sahihi, single maza wanapochekwa sio kwamba wanaonewa Bali Wana Una matokeo ya matendo Yao.

Akiwa bado Binti anang'aa huna cha kunishauri, wanamkubali ushauri huwa wanafanikiwa na ni wachache
 

Maelezo yako nimeishia tu hapo kujitapa............
Mimi si bingwa wa maelezo mistari mirefu!!! hiyo haibadilishi ukweli wa kwamba kila mmoja abebe mwanamke wa level yake.

Mimi ukiniita majina au kutoa lugha chafu kupitia fake ID hainiumizi.

Hakikisha unabeba omba omba unaeendana nae na kum mudu mdogo wangu
 
Like... mfano mimi ni single mother unipopoe, halafu niende kuwatahadharisha wengine wasiwe single mother kwa sababu kuna kupopolewa?
Kwa sababu umeshaumizwa kwa hiyo hujali hata na wengine wakiwa kama wewe unaona ni Sawa Tu.

Mimi BushDokta katika kudanga kwangu nimekutana na single maza wa kila aina, wa uswazi, wa Kishua, wa Hali ya chini, wale wa high class Wazuri Sana, wa Ndani na nje ya Nchi.

Kuwa single Maza ni mtihani mkubwa, angalau kwa wale wanazaa mara ya kwanza na kujirudi huwa wanaishi vyema Tu.

Baadhi ya Nchi kwa kufahamu changamoto zao kama Marekani na Israeli zinatenga bajeti kwa ajili ya kuwasapoti single mazas. Ndio uelewe kinachosemwa hapa sio bla bla.
Issue ya single Maza kurudia Baba wa Watoto wake ambaye pengine waliachana kwa sababu ya ukatiri wa huyo malzazi mwenza sio kwa sababu ya upendo Bali ni baada ya kukutana na changamoto za maisha ikiwemo za malezi ya watoto wake, uchumi, na ugumu wa kupata mwenza Mpya.

Vyote hivi vinamfanya arudiene na Baba wa zamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…