😂😂Ni kweli kabisa
Hasa mkiwa na chura ...ni motivation tosha kwetu
Yaani Unauza nyumba ya wazee wako kijijini bila wao kujua ili imradi pesa ipatikane ...wakitimuliwa watasaidiwa na halmashauri
Kweli ukiachia pesa magari na nyumba ni wanawake [emoji39]
na mwaka huu lazima niamie singida au mahenge ulanga
Imekuwa kero.....kama taifa inabidi tujadili hili.Wakuu Habari zenu!!
Kiukweli wanawake wamekuwa omba omba Sana yaani ukienda WhatsApp Wanawake wanaomba hatari.. ukikaa Kidogo kwenye SMS utasikia nikwambie kitu kumbe unaombwa hela.
Jamani nyie Wanawake mmekuwa kero kuliko hata wale wa barabarani Bora hela yangu nimpe yule mtoto mdogo ombaomba kuliko wewe jituzima tena umeolewa, unafanya kazi, pesa ya bando la WhatsApp unayo halafu unaomba omba.
Hakuna mwanaume anayependa kutoa Hela.. maana wote mlipewa Viuongo sawa, mikono, miguu, Akili n.k ili mfanye kazi sasa.. wanawake Akili zao kuomba omba tu.
UTAFITI
Asilimia kubwa wanaojiuza ni wanawake na ukiwauliza watakuambia wanashida na Fedha.
Sasa swali MBONA wanaume hawajiuzi kama Nyie wanawake kutanda barabarani.. means wanaume wa Akili Sana ya kutafuta Pesa au ni vipi??
UKWELI MCHUNGU.. WANAWAKE ACHENI KUOMBA OMBA MMEKUWA KERO
Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
View attachment 2297118
Duuuh kumbe!!!Hela za ndagu hizo..wala hatutish tunaotafuta hela kwa jasho letu
Sawa maskini ila mi wala sitaki huruma zao.Naona domo zege unasaliti wanaume wenzio ili uonewe huruma na wanawake...
Shwain
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]The war between broke guys and slay queen (s) will never cease..
Na vita iendeleee [emoji1787]
Ndyoooph shangazi akeee.Kuna baadhi ya wanaume mnawadhalilisha sana wanaume wenzenu ambao wanajielewa mtu kuomba umsaidie sijui km anamaanisha amekuwa omba omba na wakat tunanduguzetu wengi wa kiume tunawapiga tafu sana tu
Kma hunaela tafuta ela na utapata tu Mungu atakusaidia ila mnatubully sana aisee vitu vingine ni vidogo mno na vya kawaida kabisa
Sasa wee mzee wa muongozo, si uwafunzage hawa wenzio.Mwanamke asiponiomba pesa nahisi hanipendi...
Poleni sana...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaa km chiziiiii. KhaaaahJifunzenu kujitomba wenyewe ili kuepuka kuombwa hela
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uwe una nitag mada km hiziWanaume mmetofautiana,,ndio maana kuna wakina Fred vunja bei,na kuna kama nyie[emoji23],
Ndio ukaamua kutumia kajina kangu ka zamani mkuu[emoji23][emoji23].Mkuu Eli naelewa fika na ndio maana ulaya mtu kuanzisha mahusiano hovyo hovyo ni ngumu huwa wanaheshimu sana hili swala kwasababu wanaelewa shida ya 50/50 tofauti na huku
Huku unakuta mtu ana wanawake 04 na kuendelea sasa hapo unategemea nini hali yenyewe ndio hii kila mtu anavutia kwake
Yan kwakifupi mtu wa aina hii hajui thamani ya mahusiano, hajitambui na hayaheshimu mahusiano yenyewe.
Babu zetu walikua wanawatumikisha wake zao kama punda, ni wewe tu unayesukumwa na nyege zako vibaya.Wewe ndio ubadilike utafute hela.
wanawake hata hawajabadilika wapo vile vile tangu enzi za Pontyo wa Pilato.
Wewe ni limbukeni, haujui maandiko na unadanganywa. Wanawake wanatumia udhaifu wetu na ni viumbe hatari sana. Nenda kasomeWanaume tunazidi kupotea.
Kumbuka kwenye biblia Mungu alimwambia Nini Adam na Hawa aliambiwa Nini.
Mwanamke kapewa uzuri,umbo la kuvutia lakini hajaumbwa kutafuta.
mwanamke anatakiwa akae nyumbani apelekewe kila kitu.
Ndo maana sisi waislam tumeruhusiwa kuoa wake 4.kupunguza GAPE la wanawake ambao hawajaolewa na hawana vipato.
Hahaha lilikuwa jina zuri sanaNdio ukaamua kutumia kajina kangu ka zamani mkuu[emoji23][emoji23].
Hata hivyo nimekuelewa hoja yako vizuri mkuu[emoji122]
Sema kweli 🤣🤣Nipenda hio miguu kwenye dp
We sio pesa tu ntakuhonga hadi mbawa zangu nyeusi
[emoji39]
Mambo mrembo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]muone
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...Sasa wee mzee wa muongozo, si uwafunzage hawa wenzio.
Wanakwama wapiii?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]