Wanawake sasa wanavaa vitaiti vya kuvaa ndani ya nguo

[emoji41]
 
Upo vizuri,
 
Ndio tunapenda....sii ndio wanapendezesha dunia
Kujidhalilisha tu,

Wengine muwe mnawaambia hawapendezi wanamaumbo mabaya hatari yaani hadi aibu unaona mtazamaji,

Wavae lkn mtu ajiangalie na umbo lake anafit au vipi,mtu ana li tumbo,viguu kama fito wanachekesha na kujidhalilisha.
 
Sasa sio wote wamebarikiwa trako skonsi kama lako jamani🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…