Wanawake siku hizi wanapenda hela kuliko kuridhishwa

Wanawake siku hizi wanapenda hela kuliko kuridhishwa

Sio kweli km ingekuwa wanapenda tu hela peke yake wasingetusaliti sisi tunaowahudumia mpka kuwasomeshea wtt mainternational schools huko na bdo wanachepuka..... Au mkuu we unazungumzia hela zipi?
Hela ndo sababu kuu ila ukiona unampa hela lakin yupo hivo ujue anapepo la ngono muda wote mbususu inawasha
 
Ukiwa na hela hata ukiwa 50s unasalimiwa na kasichana eti "habari yako kaka!" Yemwe yemwe hadi nashangaa!
 
Mwanamke na aolewe,
mwanamke ishi nae kwa maarifa,
mwanamke asipigwe,
mwanamke ni chanzo Cha dhambi,
kwa damu na nyama hatuwezi kuishi nao,
bali kwa tegemeo la Mungu, mwanamke hatokudharau kamwe.
pesa ni kwa kitambo tu zina mwisho wake. Mbaya zaidi utaacha kila kitu duniani. 🙃😁
 
Hela ya kupewa na Bae ilivyo tamu....
Utaniambia nini[emoji2]
Hapo sasa dada nisaidiee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mtu aliwahi nambia "unavyopenda hela wewe utadhani ulizaliwa bank"

Hela ya kupewaa na bae tamuu, afu uwe Una muelewa sasa?? Kuna ka feelings ka pesa na upendo wa kweli vinakutanaa.
imagine [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom