totlo masire
JF-Expert Member
- Nov 7, 2021
- 868
- 1,398
Sio wote ni wadangaji wachache kama cute wife
Wote tuu mkuu! Yani wote wapo vile vile, nilikutana na manzi mmoja sio zamani hii mienzi ya karibu, nilikoma aisee demu anafanya kazi ila alikua anaomba kama omba omba nilikuwa nampa nilivyo mkula nikawa sharubu sasa!! Nikampa ukweli wa tabia yake nikapiga chini