Mimi najuaje Kama kaoKama hujui hao wanaume za watu unao waona unawatamani mara nyingi unakuta wake zao wameplay part kubwa kuwafanya hivyo unavyo waona.
Jaribu na wewe kutafuta fungu lako mtengeneze maisha kulingana na mtakavyo kuwa mnaishi.
Usitafute tu mwanaume unaeona kakamilika eti ndio uanzishe nao maisha ni kazi sana.
yapo Mengii 😂😂Shida ndio inaanzia hapo lips za kunyonya macho ya kuita na kukonyeza km unasinzia pia huna?
Hakuna mwanaume ambae yupo single jiongeze wewe unakosea wapi?Mimi najuaje Kama kao
Pia sijawai kudate na mume wa mtu ila ni wanaume ambao unakuta wana mahusiano labda yale seriously sio kwamba wameoa mkuu
Hapo umesema uongoYapi
yapo Mengii 😂😂
Ni ukweli mkuu halafu hivyo ndio Mungu kaona asininyime sura nzuri macho midomo yaani kwenye swala zima la reception Mungu alinibarikiaa ila usiangalie nyuma 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hapo umesema uongo
Najua lakini kuvunja bond ya wazazi ni ngumu mkuuHakuna mwanaume ambae yupo single jiongeze wewe unakosea wapi?
Yule aliyetoa mahari alaf akafariki, mahari irejeshwe ili uolewe, maana bila mahari kurejeshwa we NI mke WA Marehemh na majanga yanaweza yasiisheKwema humu
Jamani mimi kadogo2 sijui lini nitapata laazizi wa moyo wangu.. kila napogusa pamewahiwaa
Hii hali kwangu imekuwa ikiniumiza sana maana unajikuta unampenda mwanaume kumbe tayari ana wake ambae labda wanapendana ama anampenda na kuachana kwao inakuwa ngumu
Katika umri wangu huu nishapitia mahusiano seriously mara 4 tu Yaani ile mahusiano kweli sizungumzii haya ya Leo mmeongea keshoo kimya
1: Huyu nilianzisha nae mahusiano nikiwa bado chuo nakumbuka kilikuwa kipindi cha uchaguzi mkuu.. yalikuwa ni mahusiano ya long distance alikuwa amenizidi kama miaka 7 hivi kipindi hicho nafikiri alikuwa na 28 mimi nina 21
Ni mahusiano yaliyoenda poa sana nilimpenda Kijana lakini kumbe alikuwa akiishi na mwanamke huko Dar nilikuja kujua baadae sana yaliniumiza kiasi chake lakini kwa kuwa hatukuwa na connection yoyote ya sex niliweza kupona na kupata mahusiano mengine
2: Huyu nae nilikutana nae nikiwa mwaka wa mwisho chuo.. Aisee ni mwanaume ambae tulipendana sana na huyu pekee ndio niliweza kumchomoa kwa mwanamke aliekuwa nae kabla yangu tukafika mbali sana mpk kutoa mahari ila haikuwa bahati yangu Mungu akampenda zaidi
3:Huyu jamani sikutegemea hata kama ningempenda amefanya mpk nimempenda matokeo yake kumbe ana mtu wake seriously daah Roho imeniuma sanaa.. inaonekana wamefika hatua ya mbali sana na mtu wake hivyo hata mimi sitoweza kuwatenganisha sijui kama ameoa ama hajaoa ila najua tu ana mtu na wako hatua kubwa..Nisiwe mnafki huyu namuelewa sana kwasababu ameweza kunifanya nijihisi vizuri mno japo ndio hivyo ila Roho yaumiaaa 😧
4: Huyu ni kichefuchefu jmn Msukuma huyu ni anajisikia mno in short ana mwanamke wake mimi ndio wakuzugia sijui
Jamani hao wote ni single father 🥹🥹
Sasa mimi Hii hali inaniwazisha sana mtu anakwambia yuko single unakaa nae kwenye mahusiano halafu baadae unakuja kugundua yuko na mtu..
Jamani nipeni mbinu na mimi napataje wa kwangu mimi nishachokaa mahusiano ya hivi Leo yuko single kesho unasikia yuko na baby mama wake
Sipati picha mileage inasoma km ngapi.Kwema humu

Mimi naamini katika Mungu mmoja onenessLazima turudi kwenye makubaliano watoto wetu watalelewaje kwenye dini ipi maana siwezi kulea watoto wangu bila misingi ya dini na imani hata wewe ulipokuwa mdogo ulilelewa vingine na umekuwa umefuata vingine
Suala la dini limebase sana katika malezi ya familia.. mimi naamini katika kusali Kama wewe usali means tutashindwana maana kuna kipindi unaweza pitia changamoto ngumu ambayo inahitaji msaada wa kiroho halafu partner wako hakupi ushirikiano unajua feelings ambazo utapata
Emu njoo nikuone kwanzaNi ukweli mkuu halafu hivyo ndio Mungu kaona asininyime sura nzuri macho midomo yaani kwenye swala zima la reception Mungu alinibarikiaa ila usiangalie nyuma 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kuvunja bond kivipi?Najua lakini kuvunja bond ya wazazi ni ngumu mkuu
Hayo hayo mahusiano serious hata kama hawajaona.Mimi najuaje Kama kao
Pia sijawai kudate na mume wa mtu ila ni wanaume ambao unakuta wana mahusiano labda yale seriously sio kwamba wameoa mkuu
Mkuu labda ni wewe tu ndio Upo na hiyo wengine sasa hawapo kama weweMimi naamini katika Mungu mmoja oneness
Na nimekuwa raised independently sikuwaiga kulazimishwa kusali , kufunga .
Ila nimepewa malezi bora Kama kukataa uzinzi , Pombe ,Bangi, singara na wizi .
Na nimefundishwa kutoa sadaka kwa wahitaji na kuwasaidia watu .
Hivyo Mimi naamini katika alter (Madhabau) na naamini katika kumtanguliza Mungu.
Mafundisho haya nimepewa na Mama mzazi na Baba pia.
Na Mimi sijasoma bible wala quruan
Kwahiyo Mimi I'm spiritual being ni binadamu wa kiroho .
Katika Conscience (Dhamiri ) hii ndo jambo la msingi kuzidi dini.
Hata wale Wachungaji wakubwa na mashek wakubwa hawawezi kunikumbusha kusali kwakuwa Maisha yangu pekee ninayoishi nazingatia Sana kuwa Positive , kujitenga na negativity , like sex ,drug ,alcohol , and to hurt someone .
Je ukikutana na MTU mwenye sifa hizi utamkataa ?
Kuhusu watoto wanabidi kukuzwa na Misingi ya Imani ya kumjua Mungu Sana kuliko kuijua dini.
Nafikiri nimeelezea
Watu walishazaa kuachana huwa ngumuKuvunja bond kivipi?
Na wewe zaa kwani unasubiri nini njoo nikuzalishe km unaona unachelewaWatu walishazaa kuachana huwa ngumu
Hayo hayo mahusiano serious hata kama hawajaona.
Kiufupi maisha ni mchakato ,mfano unaweza kutongozwa na mtu ambae unaona kabisa hajafika standards zako ukamkwepa. Lakini hao hao ambao leo hawana standards kesho ndio unakuta wako juu huku wamesha build strong relationship.
So kila kitu ni risk chagua ambae utaanzia nae hapo ulipo ili mpande juu wote kiimani, financially etc au usubiri ambae ameshajijenga ambae nae atavutiwa na wewe. Na hapo kumbuka muda hausimami.
Sawa mkuuHayo hayo mahusiano serious hata kama hawajaona.
Kiufupi maisha ni mchakato ,mfano unaweza kutongozwa na mtu ambae unaona kabisa hajafika standards zako ukamkwepa. Lakini hao hao ambao leo hawana standards kesho ndio unakuta wako juu huku wamesha build strong relationship.
So kila kitu ni risk chagua ambae utaanzia nae hapo ulipo ili mpande juu wote kiimani, financially etc au usubiri ambae ameshajijenga ambae nae atavutiwa na wewe. Na hapo kumbuka muda hausimami.
Ulishawahi kumshirikisha mama yako juu hili?Watu tunatofautiana mkuu sio kwamba sipati wa kunioa napata lakini viwango havijakidhi.. mfano
1; Dini
3: Umri
4; Mtazamo
Unapata mtu anataka kukuoa lakini huna amani nae vipi uingie kwenye ndoa na huyo mtu.. sichagui ila angalau kati ya vigezo 10 hata 4 viwepo mkuu
Kuwa karibu na Mungu ni tofauti na kuwa karibu na dini.Mkuu labda ni wewe tu ndio Upo na hiyo wengine sasa hawapo kama wewe