Wanawake: Unajisikiaje kila ukipata mwanaume anaeleweka, anakuwa tayari ana mtu wake

Basi anabidi kujitathimini kwakuwa mwanaume mpaka aoe anatumia logic sana.


Yaah hiyo ni changamoto kwa kina dada wengi, mara nyingi ndo hao wanafatwq na waume za watu. Na hao waume za watu wakiwa na mentality kua wanamsaidia kwasababu pia huenda ni cheap anatoa hata bure ukimuahidi upendo na ndoa.
 
Pambana ratio ya sensa ni 1:2(51/49) men to women ukiendelea kungoja hawaji wafuate tu siku moja utampata wakwako,hizi hadithi za subiria ilikua enzi low population sio sasa
 
We endelea ivyo ivyo ipo sku utapata mnyonge wako utampindua na utaolewa ww.

Maisha yalobakia ni kupinduana tu akuna ambae hana mwenzake.

Huwezi enda nunua nguo ukiwa uchi
 
Kwa Huyo msukuma, wewe mwenyewe ndiye ulikubali awe tapeli wa mapenzi kwako.
Kiujumla, Ni binti unayeonékana kupenda wanaume wenye mafanikio yao. Yaani, Ni kàma unàtaka wanaume walijipata kimaisha ili wewe kazi yako ni kutumia tu hayo mafanikio yao.
Kumbukà: kama unàpenda kutumia Vya wenzako na wewe lazima utumike.
 

Tulia, kaa kwa kutulia, usihangaike, usitafute, atakuja, atatokea, ukiendelea hangaika, utakuja muita mumuoa ana kibamia Bure , na pia sio lazima kuolewa.
 
Hao wa kids ndio hao nawasemea
 
Kama wanaishi wote je 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…