Wanawake wa Pemba na Kanda ya Ziwa wapigwe sindano ya uzazi wa mpango kwa lazima, wanatesa watoto

Ni kweli Watu ni raslimali ya Taifa. Lakini ni wale wenye afya njema tu. Wale Wenye utapiamlo na afya mgogoro badala ya kuwa rasilimali, wanageuka kuwa mizigo kwa Taifa.
Hata wewe ni mzigo wa Taifa sema tu haijawahitokea punguwani akajielewa kuwa hazimtoshi.
 
Ni kweli wapemba wanakula vizuri ila watoto wana mahitaji mengi sio kula tu
Mzazi huwezi kufuatilia maendeleo ya darasani ya watoto kumi.
 
Pumbavu sana hilo, linataka tupitie ujinga wanaopitia Canada na Japan ambao wana resources tele lakini rasilimali Watu kuendesha hivyo vitu hakuna tokana na ujinga huu wa uzazi wa mpango, punyeto na ushoga, TZ hatuko tayari kuwa Wajinga kiasi hicho.
 
Umesema hakuna billionaire mwenye watoto wengi au ulimaanisha Tz tu!?
Hao kina kishimba, msukuma, Ndege Sera wanakuzidi kila kitu hadi watoto we we juha wauzazi wa mpango
Hao ni bilionaire au millionaire?
 
Dar ina zaidi ya watu Milioni 5
Pemba ina watu chini ya laki 7
 
Nilivyokuwa natamani watoto wengi kadri muda unavyoenda nazidi kuchoka na maisha,
the idea of having a responsibility free life seems exciting at the moment!!!

Yaani nimechooka, nataka nikae tuuu mtu yeyote asihitaji chochote kutoka kwangu, do it yourself, na nisiongeleshwe pia, my mind is exciting enough for me
 
Pole mkuu watoto ni muhimu sana kama unaweza kuwatunza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…