EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Mwanabodi, WANAKUZIDI WEWE TU!!! Mi usiniweke kwenye kundi hilo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndyo nachomaanisha mkuu ukitaka kuamini KE hawana akili angalia wanachojivunia mtu akiwa na shape anajiona ni kama Dunia ni yake wakati Hana Hela .Wanafanya kazi za kujidhalilisha utu kawaangalie mastrippers waliopo Kasino ni KE hawana aibu.Wanaocheza uchi majukwaani, kwenye kumbi za starehe, makasino n.k.
Au unamaanisha tangu lini Ke (viburudisho vya Me) vilikuwa na akili kuzidi viburudishwa (Me)? [emoji3]
Kuonywa uishi na mtu kwa akili haimaanishi mtu unaetakiwa kuishi nae kwa tahadhari anaakili sana, bali inawezekana ana shida kumkichwa.Anza kampeni wanaume tupumzike wao waongoze familia, kwa maneno mengine tupokezane majukumu wao wachukue yetu nasi tubebe yao.
Lakini kumbuka tulionywa tuishi nao kwa akili
Mwamba usaliti unaita akili umekula nini mengine bora kuyakalia kimya Paskali tunaishi humu yanayotokea tunayaona ghiliba za wanasiasa hata ndani ya CCM hila na ghiliba nyingi mno sasa msiziite hizi akili. kama kweli yatatokea basi utashuhudia mambo ya aibu kwa demokrasia katika nchii hii.Wanabodi,
Huku nikiisubiri kesho kwa hamu kushuhudia akili za wanawake kwenye kilele siku ya wanawake duniani hapo Machi 8, huku nikitafakari mwelekeo na mustakabali ...
Umesoma biblia alafu uelewi.Usifananisha udhaifu wa kimwili na kihisia wa mwanaume dhidi ya mwanamke na akili.Akili ni kitu kingine kabisa.Biblia imetuongoza kwa kusema: Wanaume ishini na wake zenu kwa akili.. 1 Petro 3:7 (NEN)
... wanaume wamepewa nguvu, akili wamepewa wanawake.. ndio maana ukisoma biblia vizuri utakugundua mfalme suleiman alikuwa na wake wengi si kwasababu ya sex tu bali pia ni kutumia akili zao.. katika kukamilisha mambo yake ya ufalme.. kazi nyingi za kijasusi duniani zinafanywa na wanawake zaidi wanaume wanakuja kumalizia zile sehemu zinazohitaji nguvu (special force).. mimi binafsi nikitaka taarifa za mtu yeyote nayemtaka nampelekea mwanamke tu kazi yangu inakuwa imeisha
Acha utoto mkuu,Tutajie nchi kumi tu duniani ambazo wanawake walipambana hadi zikapata uhuru wao wakiwa mstari wa mbele kufa kwa sababu ya wananchi au watu wake.Wanabodi,
Huku nikiisubiri kesho kwa hamu kushuhudia akili za wanawake kwenye kilele siku ya wanawake duniani hapo Machi 8, huku nikitafakari mwelekeo na mustakabali ...
Hakika.umegonga penyewe huyu jamaa nilikuwa namjibu kila alipokuwa anapotosha humu jf kwa kujifanya anajua administrative law vizuri kwa kuleta notes za darasan akizani...
Baada ya kudanganywa pale Eden alipewa mamlaka ya kupindua meza yaani "kumponda kichwa" nyoka kwa kisigino tu.Mngekuwa na akili msingedanganywa bustani ya Edeni. Mwanamke rahisi Sana kudanganywa alafu anajiona ana akili kuliko mwanaume.
Watu wanaotembea uchi wawazidi watu wanaostiri utukufu wa Mwenyezi Mungu.Ndyo nachomaanisha mkuu ukitaka kuamini KE hawana akili angalia wanachojivunia mtu akiwa na shape anajiona ni kama Dunia ni yake wakati Hana Hela .Wanafanya kazi za kujidhalilisha utu kawaangalie mastrippers waliopo Kasino ni KE hawana aibu.
Yaani umemwambia ukweli wote yeye anatumia elimu yake vibaya kufikisha kile alichonacho moyoni.Ww P ni moja ya waandishi wanao ichukia sana chadema...P ww ni moja ya wasukuma wanaoichukia sana chadema, P ww ni moja ya watu wanaoteswa sanaaaa na mafanikio ya chadema...
Aisee..Baada ya kuujua ukweli huu, sasa ni mwendo wa heshima na adabu kwa wanawake wote
Mbaya ni kwambaaa, alidanganywa yeye akawa na akili ya kukushawishi ukaingia kingi. Nani mkali???????Mngekuwa na akili msingedanganywa bustani ya Edeni. Mwanamke rahisi Sana kudanganywa alafu anajiona ana akili kuliko mwanaume.
Ww P ni moja ya waandishi wanao ichukia sana chadema...P ww ni moja ya wasukuma wanaoichukia sana chadema, P ww ni moja ya watu wanaoteswa sanaaaa na mafanikio ya chadema , P ww ni moja ya watu wanao tamani sana kuona chadema inafutiwa usajiri wake...lkn hayo yooote imekuwa ni Dua la kuku... Hao dada zako akina mdee na wenzake ni moja ya wanawake wajinga wanao sifiwa na wajinga wenzao bila kujari jinsia zao .... Kwahiyo wanawake wa chadema Wana akili mara 1000 ya hao dada zako akina mdee...hata ww hujawahi kuwaza kuwa Mkiti wa ccm anaweza kuudhuria sherehe yyte au hafla yyte iliyo andaliwa na chadema.... najua umeumia sana .... Pascal Mayala maisha ni sawa na gwaride , ooohooooo
Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
Yaani mtu kama ana mapenzi na chama fulani na ana chuki na chama fulani tushindwe kumwambia kwa sababu tuna low IQ?Kwanini aichukie CHADEMA, Shida yenu kubwa Nyie either low IQ or mashabiki wa CHadema at all cost, ni kutokutulia pale hoja ispoeleweka au kuonyesha inapingana na CHADEMA...