Wanawake Wana Akili Kuliko Wanaume? Hata kwenye Siasa na Uongozi, Wanawake Wameonyesha Uwezo Kuliko Wanaume

Wanawake Wana Akili Kuliko Wanaume? Hata kwenye Siasa na Uongozi, Wanawake Wameonyesha Uwezo Kuliko Wanaume

Wanaocheza uchi majukwaani, kwenye kumbi za starehe, makasino n.k.

Au unamaanisha tangu lini Ke (viburudisho vya Me) vilikuwa na akili kuzidi viburudishwa (Me)? [emoji3]
Ndyo nachomaanisha mkuu ukitaka kuamini KE hawana akili angalia wanachojivunia mtu akiwa na shape anajiona ni kama Dunia ni yake wakati Hana Hela .Wanafanya kazi za kujidhalilisha utu kawaangalie mastrippers waliopo Kasino ni KE hawana aibu.
 
Anza kampeni wanaume tupumzike wao waongoze familia, kwa maneno mengine tupokezane majukumu wao wachukue yetu nasi tubebe yao.

Lakini kumbuka tulionywa tuishi nao kwa akili
Kuonywa uishi na mtu kwa akili haimaanishi mtu unaetakiwa kuishi nae kwa tahadhari anaakili sana, bali inawezekana ana shida kumkichwa.
 
Ww P ni moja ya waandishi wanao ichukia sana chadema...P ww ni moja ya wasukuma wanaoichukia sana chadema, P ww ni moja ya watu wanaoteswa sanaaaa na mafanikio ya chadema , P ww ni moja ya watu wanao tamani sana kuona chadema inafutiwa usajiri wake...lkn hayo yooote imekuwa ni Dua la kuku... Hao dada zako akina mdee na wenzake ni moja ya wanawake wajinga wanao sifiwa na wajinga wenzao bila kujari jinsia zao .... Kwahiyo wanawake wa chadema Wana akili mara 1000 ya hao dada zako akina mdee...hata ww hujawahi kuwaza kuwa Mkiti wa ccm anaweza kuudhuria sherehe yyte au hafla yyte iliyo andaliwa na chadema.... najua umeumia sana .... Pascal Mayala maisha ni sawa na gwaride , ooohooooo

Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
 
Wanabodi,
Huku nikiisubiri kesho kwa hamu kushuhudia akili za wanawake kwenye kilele siku ya wanawake duniani hapo Machi 8, huku nikitafakari mwelekeo na mustakabali ...
Mwamba usaliti unaita akili umekula nini mengine bora kuyakalia kimya Paskali tunaishi humu yanayotokea tunayaona ghiliba za wanasiasa hata ndani ya CCM hila na ghiliba nyingi mno sasa msiziite hizi akili. kama kweli yatatokea basi utashuhudia mambo ya aibu kwa demokrasia katika nchii hii.

Kama mlivyokuwa mnahalalisha serikali kudhulumu raia kwa zile pre bargain basi mtaona hongo, vyeo na madaraka yanavyoondosha utu wetu katika kupata uwanja sawa wa kushindana kidemokrasia katika nchi hii.

Waliopo madarakani ndio wanafanya kila kitu sasa hivi inakuwa sio tu refa wao mpaka wapinzani ni wao. Mbona hamtaki kutuambia achievement waliopata hao wabunge kwa muda woote walioenda kivyao na kuacha wenzao magerezani na wengine kutoroka.
 
Biblia imetuongoza kwa kusema: Wanaume ishini na wake zenu kwa akili.. 1 Petro 3:7 (NEN)
... wanaume wamepewa nguvu, akili wamepewa wanawake.. ndio maana ukisoma biblia vizuri utakugundua mfalme suleiman alikuwa na wake wengi si kwasababu ya sex tu bali pia ni kutumia akili zao.. katika kukamilisha mambo yake ya ufalme.. kazi nyingi za kijasusi duniani zinafanywa na wanawake zaidi wanaume wanakuja kumalizia zile sehemu zinazohitaji nguvu (special force).. mimi binafsi nikitaka taarifa za mtu yeyote nayemtaka nampelekea mwanamke tu kazi yangu inakuwa imeisha
Umesoma biblia alafu uelewi.Usifananisha udhaifu wa kimwili na kihisia wa mwanaume dhidi ya mwanamke na akili.Akili ni kitu kingine kabisa.
 
Wanabodi,
Huku nikiisubiri kesho kwa hamu kushuhudia akili za wanawake kwenye kilele siku ya wanawake duniani hapo Machi 8, huku nikitafakari mwelekeo na mustakabali ...
Acha utoto mkuu,Tutajie nchi kumi tu duniani ambazo wanawake walipambana hadi zikapata uhuru wao wakiwa mstari wa mbele kufa kwa sababu ya wananchi au watu wake.
 
Mngekuwa na akili msingedanganywa bustani ya Edeni. Mwanamke rahisi Sana kudanganywa alafu anajiona ana akili kuliko mwanaume.
Baada ya kudanganywa pale Eden alipewa mamlaka ya kupindua meza yaani "kumponda kichwa" nyoka kwa kisigino tu.

Unalijua hilo? Kama hulijui lijue sasa usimdharau mwanamke kisa wewe una kende 😁
 
Ndyo nachomaanisha mkuu ukitaka kuamini KE hawana akili angalia wanachojivunia mtu akiwa na shape anajiona ni kama Dunia ni yake wakati Hana Hela .Wanafanya kazi za kujidhalilisha utu kawaangalie mastrippers waliopo Kasino ni KE hawana aibu.
Watu wanaotembea uchi wawazidi watu wanaostiri utukufu wa Mwenyezi Mungu.
 
Ww P ni moja ya waandishi wanao ichukia sana chadema...P ww ni moja ya wasukuma wanaoichukia sana chadema, P ww ni moja ya watu wanaoteswa sanaaaa na mafanikio ya chadema...
Yaani umemwambia ukweli wote yeye anatumia elimu yake vibaya kufikisha kile alichonacho moyoni.
 
Ww P ni moja ya waandishi wanao ichukia sana chadema...P ww ni moja ya wasukuma wanaoichukia sana chadema, P ww ni moja ya watu wanaoteswa sanaaaa na mafanikio ya chadema , P ww ni moja ya watu wanao tamani sana kuona chadema inafutiwa usajiri wake...lkn hayo yooote imekuwa ni Dua la kuku... Hao dada zako akina mdee na wenzake ni moja ya wanawake wajinga wanao sifiwa na wajinga wenzao bila kujari jinsia zao .... Kwahiyo wanawake wa chadema Wana akili mara 1000 ya hao dada zako akina mdee...hata ww hujawahi kuwaza kuwa Mkiti wa ccm anaweza kuudhuria sherehe yyte au hafla yyte iliyo andaliwa na chadema.... najua umeumia sana .... Pascal Mayala maisha ni sawa na gwaride , ooohooooo

Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app

Kwanini aichukie CHADEMA, Shida yenu kubwa Nyie either low IQ or mashabiki wa CHadema at all cost, ni kutokutulia pale hoja ispoeleweka au kuonyesha inapingana na CHADEMA. Kwa Sisi watazamaji na watanzania kwanza kabla ya Vyama tunawaona kituko.

Hapa Public arena kila mtu Ana uhuru ( kiini cha Demokrasia) , bila kuongilia haki na heshima ya mwingine, na bila kuvunja sheria, kanuni, desturi Nzuri za jamii anayojikuta nayo. Jifunzeni kuinjoy maisha. Kutokana na kukaa kwangu hapa JF nikiwakwaza watu hapa na pale nimegundua Hakuna watu Hatari, wa ovyo na wasiofaa kupewa madaraka Kama asilimia kubwa wanachama wa demokrasia na maendeleo hapa JF. Wakina Mbowe wanatukanwa na kudharauliwa kwa sababu ya watu Kama nyinyi.
 
Kwanini aichukie CHADEMA, Shida yenu kubwa Nyie either low IQ or mashabiki wa CHadema at all cost, ni kutokutulia pale hoja ispoeleweka au kuonyesha inapingana na CHADEMA...
Yaani mtu kama ana mapenzi na chama fulani na ana chuki na chama fulani tushindwe kumwambia kwa sababu tuna low IQ?

Wewe umeandika hapa ukiwa na High IQ au Low IQ?Paschal Mayalla ni mwanasheria na mwandishi wa habari kosa lake ni kuonyesha chuki za wazi kwa CHADEMA kama Magufuri alivyofanya.
 
Back
Top Bottom