Wanawake wanakuwa na backup ya mwanaume akilini mwao kama mahusiano au ndoa zao zitafeli

Bado hio haisaidii mwanamke hachungwi na ukitaka kufa mapema anza kumfatilia au kumchunga
 
Hata Mimi Nina backup hawapunguia wanawake wa tatu akizingua huyu unachagua wapi ukapone
 
Ht wanaume ni hivyohivyo
 
Hamn hao unawamini wewe walishakufaga enzi ya safina ya nuhu hawa wa sasa wa kidigitali wa iphone 6 mkuu ni shida
Kama ni mwanaume na unashindwa ku manage mke au mpenzi wako. Ujue huyo sio wako huto muwezo, na mwanamke asiekubali fata unachotaka sio wakoz na mwanamke usiempenda na kuwa tayari kutoa chochote chako napo ni sanaa. Kuna mahala tunaona wanawake wanazingua au wasumbufu kwasababu na sie tunaacha akili na uanaume wetu nyuma
 
Ht wanaume ni hivyohivyo
Vipi mama, Huwezi tumia simu mmoja na mpenzi wako ? Kuwa unatumia simu ya mume wako anapokuwepo nyumbani au naporudi kutoka kwenye majukumu ? Na hapo hapo anakupa upendo wote na na kila kitu, na kukupa hadhi zote na mama mwenye nyumba ?
 
Vipi mama, Huwezi tumia simu mmoja na mpenzi wako ? Kuwa unatumia simu ya mume wako anapokuwepo nyumbani au naporudi kutoka kwenye majukumu ? Na hapo hapo anakupa upendo wote na na kila kitu, na kukupa hadhi zote na mama mwenye nyumba ?
Kutumia cm moja mbona inawezekana Wala sio issue
Ila tu Kwa maisha ya SS naona Haina maana Kuna muda utahitaji kuwassiliana na ndugu na watu wengine pia, utaisubiri mumeo arudi kazini? Km Kuna dharula je?

So kwenye cm sioni km inaleta maana , btw wanawawake mbona ukitupatia tu Wala hatunaga mambo mengi, shida jamii inayoyaona πŸ™ŒπŸ™Œ
 
Kama inawezekana kutumia simu moja mengine yanawawezekana. The rest mnaangalia namna ya ku handle mambo madogo madogo kama hayo. Wanaume tume fail tunarudia kosa lile lile la Adam kutupia lawama Eva kwa makosa yake Adam ya uwajibikaji kama protector kwa Eva! Vijana wanaishi kulalama, hawajui makosa ni yetu, mala kataa ndoaz haturudi kuangalia kiini cha tatizo kiko wapi. Sure mwanamke ukimpenda na aka feel upendo wa dhati na akauona wazi wazi na Me akaweza ku manage resources mbona chaos zinaisha au kuwa minizimize katika kiwango kikubwa sanaa
 
Samahani… Umeolewa?
 
Natangaza ndoa na Lamomy ndoa itafungwa parokia ya Mt Immaculate Upanga Dsm jumamosi na Kisha tafrija fupi Kilimanjaro Hotel, Hyatt regency..... Na baadae kuanza fungate huko visiwa vya karafuu Zanzibar....

Nilikuwa naota
 
Hakika wanaume wakijua na kurudi kwenye nafasi hizi kelele hutazisikia Kwa kiwango km kilichopo ss
 
Hili lina ukweli
 
Inauma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…