Wanawake wanalalamika wanaume wa siku hizi hawafai, lakini wanawalea watoto wao kwa mtindo mbovu zaidi. Hawatafaa kwa lolote.

Sasa unalimaje na wee ni mtoto wa kike?
 
You are very correct.
Kuosha vyombo ni kumfundisha tu ajue kuna kuwajibika.....sio lazima akaspecialize
 
Hawa Kataa Ndoa wanatuharibia kizazi. Wanazaa hovyo na kutelekeza watoto na ndio hawa wanaosumbua Taifa wakike na wakiume
 
Hahahaa we jamaa
 
Wakati mwanao wa kiume analelewa kimayai wewe baba yake unakuwa vitani Israeli au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…