Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 3,506
- 6,305
Watu gani mkuu Poor BrainWe jamaa kuna watu wanakutafuta kule jukwaa la siasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu gani mkuu Poor BrainWe jamaa kuna watu wanakutafuta kule jukwaa la siasa
Wakati unaanza maisha ya kujitegemea ilikuaje ama bado dada na mama ndio wanakufanyia hizo kazi?Mtoto wakiume akaoshe vyombo !!?? Ah hapana hiyo kazi ya mama yake au dada zake
Sijajua ila wamekutag sana tuu..Watu gani mkuu Poor Brain
Sasa unalimaje na wee ni mtoto wa kike?Huwezi elewa wewe kataa ndoa kaa pembeni unachowaza ni mbususu tu.
Wapo.watoto wa kiume wameosha vyombo na kazi nyingine na ndio wanaoongoza kuwa baba bora kwa sasa. Kuosha vyombo ukiwa mdogo haimaanishi ije kuwa kazi yako ya kila siku ukiwa baba.
Mbona watoto wa kike tumelima...kwa nini hatukuwa tunaambiwa hizi ni kazi za kiume?
We bana kaa pembeni tukutane kule kwenye kula mbususu...you cannot be a father figure.
Mie nakula kwa mama ntilieWakati unaanza maisha ya kujitegemea ilikuaje ama bado dada na mama ndio wanakufanyia hizo kazi?
OkayHampo kila siku mwaka mzima? Toa maelekezo kama haupo na kuna wengine wanasema kabisa mtoto wangu asiingie jikoni unategemea nini.
Na kama kweli unakosa muda wa kukaa na watoto wako basi una tatizo kubwa. Baba zetu walikuwa busy lakini tuliona uwepo wao.
You are very correct.Huwezi elewa wewe kataa ndoa kaa pembeni unachowaza ni mbususu tu.
Wapo.watoto wa kiume wameosha vyombo na kazi nyingine na ndio wanaoongoza kuwa baba bora kwa sasa. Kuosha vyombo ukiwa mdogo haimaanishi ije kuwa kazi yako ya kila siku ukiwa baba.
Mbona watoto wa kike tumelima...kwa nini hatukuwa tunaambiwa hizi ni kazi za kiume?
We bana kaa pembeni tukutane kule kwenye kula mbususu...you cannot be a father figure.
Hawa Kataa Ndoa wanatuharibia kizazi. Wanazaa hovyo na kutelekeza watoto na ndio hawa wanaosumbua Taifa wakike na wakiumeHampo kila siku mwaka mzima? Toa maelekezo kama haupo na kuna wengine wanasema kabisa mtoto wangu asiingie jikoni unategemea nini.
Na kama kweli unakosa muda wa kukaa na watoto wako basi una tatizo kubwa. Baba zetu walikuwa busy lakini tuliona uwepo wao.
Hahahaa we jamaaMie mtoto wangu wakiume nilishamfu disha kuwa wewe ndio mwanaume kazi za kike wacha wafanya dada zako na mama yako. Wewe kama mwanaume jukumu lako ni kuweka food on the table.
Yaani kweli mtoto wakiume ashike sufuria aanze sugua na steal wire 🤣🤣🤣🤣🤣 m adhalilisha uanaume
Umeongea point mkuuIn any way whether una pesa nyingi au kidogo Mtoto wa kiume lazima awe amekaza.
Duniani hakuna Mwanaume aliyefanikiwa akiwa goi goi
Mkuu tumeshaambiwa sisi kataa ndoa eti tuzichakate tu hatunaga ushauri wa maana kuhusu malezi🤣🤣🤣🤣Sasa unalimaje na wee ni mtoto wa kike?
Inaonekana hata ndani kwako huwezi kufagia wewe mtu.Mie nakula kwa mama ntilie
Great Men are born by strong women.Umeongea point mkuu
Ah shuka ndio duster 🤣🤣🤣🤣Inaonekana hata ndani kwako huwezi kufagia wewe mtu.
Mkuu mtoto anaishi Dar ataenda kuwinda wapi na nini?Watotk wakiume wane da kuwinda vyombo vya nini tena
😂😂😂 Umenishinda tabia.Ah shuka ndio duster 🤣🤣🤣🤣
Wee wanawake kibao wana njaa mtaani unawaita wanakusafishia nyumba vizuri kabisa
Wakati mwanao wa kiume analelewa kimayai wewe baba yake unakuwa vitani Israeli au?Utawaskia wakilalamika ooh wanaume wa siku hizi, they are not caring, aren't strong men.
Ukija kuangalia sasa jinsi wanavyolea watoto wao wa kiume ndio majanga zaidi.
Watoto wakiume wamekuwa mtihani mkubwa mikononi mwa Mama zao.
Hawawezi kufanya kazi ngumu, hawezi kutoka nje kukojoa mpaka asindikizwe, yaani hana ujasiri wowote. Akipigwa nje na watoto wenzie anakimbia analia kwa mama yake. Mama naye anaenda kulianzisha varangati indefence kwa mwanaye.
Mtoto anamaliza Darasa la Saba hawezi hata kuosha vyombo, hawezi hata kupiga deki au kufagia.
Je mnatuletea wanaume wa namna gani siku zijazo?
Kwani hapo nyumbani hamna kazi nyingine zaidi ya kuosha vyombo na kupiga dekiMkuu mtoto anaishi Dar ataenda kuwinda wapi na nini?
Acha uboya wakati mke uliye naye anafanya kazi za kiume ili akutunzeMtoto wangu wakiume hapaswi kuosha vyombo. Kazi ya wanawake hiyo