Wanawake wanalalamika wanaume wa siku hizi hawafai, lakini wanawalea watoto wao kwa mtindo mbovu zaidi. Hawatafaa kwa lolote.

Wanawake wanalalamika wanaume wa siku hizi hawafai, lakini wanawalea watoto wao kwa mtindo mbovu zaidi. Hawatafaa kwa lolote.

Huwezi elewa wewe kataa ndoa kaa pembeni unachowaza ni mbususu tu.
Wapo.watoto wa kiume wameosha vyombo na kazi nyingine na ndio wanaoongoza kuwa baba bora kwa sasa. Kuosha vyombo ukiwa mdogo haimaanishi ije kuwa kazi yako ya kila siku ukiwa baba.
Mbona watoto wa kike tumelima...kwa nini hatukuwa tunaambiwa hizi ni kazi za kiume?
We bana kaa pembeni tukutane kule kwenye kula mbususu...you cannot be a father figure.
Sasa unalimaje na wee ni mtoto wa kike?
 
You are very correct.
Kuosha vyombo ni kumfundisha tu ajue kuna kuwajibika.....sio lazima akaspecialize
 
Hampo kila siku mwaka mzima? Toa maelekezo kama haupo na kuna wengine wanasema kabisa mtoto wangu asiingie jikoni unategemea nini.
Na kama kweli unakosa muda wa kukaa na watoto wako basi una tatizo kubwa. Baba zetu walikuwa busy lakini tuliona uwepo wao.
Hawa Kataa Ndoa wanatuharibia kizazi. Wanazaa hovyo na kutelekeza watoto na ndio hawa wanaosumbua Taifa wakike na wakiume
 
Mie mtoto wangu wakiume nilishamfu disha kuwa wewe ndio mwanaume kazi za kike wacha wafanya dada zako na mama yako. Wewe kama mwanaume jukumu lako ni kuweka food on the table.

Yaani kweli mtoto wakiume ashike sufuria aanze sugua na steal wire 🤣🤣🤣🤣🤣 m adhalilisha uanaume
Hahahaa we jamaa
 
Utawaskia wakilalamika ooh wanaume wa siku hizi, they are not caring, aren't strong men.

Ukija kuangalia sasa jinsi wanavyolea watoto wao wa kiume ndio majanga zaidi.

Watoto wakiume wamekuwa mtihani mkubwa mikononi mwa Mama zao.

Hawawezi kufanya kazi ngumu, hawezi kutoka nje kukojoa mpaka asindikizwe, yaani hana ujasiri wowote. Akipigwa nje na watoto wenzie anakimbia analia kwa mama yake. Mama naye anaenda kulianzisha varangati indefence kwa mwanaye.

Mtoto anamaliza Darasa la Saba hawezi hata kuosha vyombo, hawezi hata kupiga deki au kufagia.

Je mnatuletea wanaume wa namna gani siku zijazo?
Wakati mwanao wa kiume analelewa kimayai wewe baba yake unakuwa vitani Israeli au?
 
Back
Top Bottom