Wanawake wananyenyekea kwa sababu hawana pesa: Wanafuata chakula

Umri wako bado! Hata wetu wakati ule walifikiria hivyo. Lakini kadri ya wakukuomba k wakipungua, umuhimu wa mume unaonekana!
 
Na anakuwa na jeuri ya kwenda na kukurudia, maana ana uhakika atakukuta mrs. Available.
 
We jamaa!

Upendo was kweli was ke utaujua pale ke anapofanikiwa kuwa sawa na wewe au kukuzidi!!!
 
Hapo sasa,, wanapendwa hawa kuombwa kila kitu. Ila wakija huku jf ndio wanatuona kausha damu
Mimi napenda mwanamke mwenye kipato na anayejiamini.

Lakini kama hana kipato basi asitumie unyenyekevu wa urongo ili kumtapeli Baba Kimaro.

Bora tu ufungue makucha hata kama huna kipato ili mbivu na mbichi zijulikane.

Makucha ni makali lakini nitavumilia kwa ajili ya mbususu.
 
Nafikiri mkaka kijana awe na mitazamo chanya juu ya ndoa

Aoe kwa sababu anampenda fulani
Aoe kwa sababu anahitaji kujenga familia na fulani provided that mtashirikiana sio kwenye tendo tu hata basic chores

Sio uoe kwasababu unataka mtu akuheshimu, akunyenyekee kwani we MUNGU?

Sio uoe ufuliwe, upikiwe kwani yeye.ni mtumwa provided that na yeye ana damu sio roboti kwamba anaeza mtumikisha kwa kila kitu

Nafikiri wazazi sasa wawaeleweshe hawa wanawake vijana wajitambue aisee πŸ™ŒπŸ™Œ
 
Hapo ni sawa! Aliyejuu msubiri chini. Umri ukifika hata kiwete ni mume wake. Tumeyaona, mwanamke bila mume uzeeni au mwanamume bila mke uzeeni ni majanga
 
Mwanamke hakuumbwa kumiliki mwanamke aliumbwa kumilikiwa na kumilikiwa siyo anyanyaswe ni atunzwe apendeze apate utulivu wa nafsi,ni kusema pia mke anatakiwa awe mshauri wa mumewe.

Huyo anayefanya hivyo ikitokea mumewe amemuacha pamoja na kuwa na vyote hivyo baada ya kumaliza kazi zake akirudi home kuna kitu kitampungua na hatakipata kama hatakubali kuwa chini ya mwanaume.
 
Kwa fikra hizi ndiyo maana mlpewa ukomo wa fikra.Hela huwafanya mkose upendo,utu,heshima na mizani maishani.Na ndiyo hapo huwa najiuliza ingekuwaje kama wanaume na wanawake wangeumbwa kwa uwezo na kuyachukulia mambo kuliko sawa!Ingekuwa rabsha.
 
Naonaga katika upambanaji bora Uongeze jitihada za chini chini,
Uwe na Way Out ya kujiwekeza kivingine hata kidogo kwa ambacho Mwanamke wako hatakifahamu..

Tafuta katika cycle yako upate mtu wa kumuamini Ndio aijue,

Kama ni ngumu,
Usiwe Bwenge Kila kitu unamwagia mezani Bwaaaa,
Vingine Ficha ficha, ili akianzisha sebene Usije ukajinyonga.

Niseme ukweli mimi roho ya kumuacha Mwanamke Aniache halafu Aondoke na kila kitu changu(kama kilichomtokea Mshkaji mwaka jana Mwishoni)eti kisa watoto na kujifariji haya maisha pesa inatafutwa,
HIO ROHO SINA, Hivyo lazima nijihami.
 
Kwanini unahisi ni unyenyekevu wa uongo? Mtu tu asikupende kwa moyo wake wote na kukutii, we unaona ananyenyekea uongo kisa hizo elf20 zako?

Watu ambao hamjawahi ku experience mapenzi ya dhati mnasumbua sana
 
Usiwe na pa kwenda alikuokota juu ya mti!??
Usiishi bila yeye kwani unatumia oksijeni yake??
Eeh unajua ukisshakua mkubwa na wazazi kuchoka aau kustaafu uwezo wa kumuhudumia kijana wao unapungua

Sasa mwanamke kijana asipokua na ramani afu atokee Mwanaume anataka amueke ndani yupo radhi avumilie yote πŸ™Œ maana mji umekua mgumu kwake
 
Pole sn mkuu

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Eeh unajua ukisshakua mjubwa na wazazi kuchoka aau kustaafu uwezo wa kumuhudumia kijana wao unapungua

Sasa mwanamke kijana asipokua na ramani afu atokee Mwanaume anataka amueke ndani yupo radhi avumilie yote πŸ™Œ maana mji umekua mgumu kwake
Nime kukumbuka rafikiπŸ€’
 
Unajua wengi wanaosema ndoa haina maana hasa wanawake, ni kuwa hawasemi ukweli! Wanasema kujifurahisha tu. Kila mwanamke isipokuwa sista wa kikatoliki anaota ndoa. Abishe mtu nimpe mifano hai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…