Wanawake wananyenyekea kwa sababu hawana pesa: Wanafuata chakula

Una maanisha ndoa za zamani zilikuwa zinadumu sababu wanawake walikuwa wanavumilia mateso??
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Habari wanandugu Mimi ni dereva natafuta gari ya mkataba ya kufanyia Kazi iwe canter.fuso.Tata,coaster ,Rosa ,yeyote tutakavyokubaliana na boss wangu Nina leseni C1 C2 C3 E A B D Nina uzoefu zaidi ya miaka 10 mawasiliano yangu ni 0625886599
Nenda Taesa
 
Ndio maana nimetumia neno "......wachache mnoo........",kwa maana majority wapo hivyo au hao nao majority kwa mtizamo wako walitendwa na wanaume?

Halafu hawa wadada wenyewe nimewajua huyo mwenye maduka ya nguo, nimejua kipindi nipo O-Level, wapili kipindi nipo A-level alikuwa jirani yetu.Ndio maana najua mpaka background yao na malezi yao sababu walikuwa marafiki zangu. Nikilinganisha na hao majority tabia zao kiroho na hawa wawili ni ardhi na mbingu.

Ila majority dada zangu, mkiwa na hela viburi,mashindano,jeuri na ndio maana naamini hela ya mwanamke haijawahi kuwa tamu huambatana na manyanyaso na masimango.Watafute hawa vijana wanao lelewa na wanawake wengine wanakula mpaka makofi.

Leo sipo kwa ajili ya ligi,najua unapenda ligi na wanaume sijui wamekufanya nini. Ila na mpongeza huyo mwanaume anaye date na ww ana moyo wa kuamisha milima.
 
Ndoa ni kama taasisi ya kitapeli ambayo mwanamke anaitumia kukidhi mahitaji yake. Kinyume na hapo, mwanamke hana haja na ndoa.

* Kunawakati tunapaswa kuyapuuza mahitaji ya wanawake na kuzingati mahitaji yetu wenyewe binafsi kama wanaume*
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…