Wanawake wanawahi kuchoka, Mwanaume unatoa wapi ujasiri wa kuoa mwanamke mnayelingana umri?

very interesting mkuu, kuoa same age hata hulka zenu zinakuwa sawa, malengo aina ya marafiki choices zenu elimu n.k.. na mimi story yangu uenda ikawa kama ya kwako nikifanikiwa kufunga ndoa next year! sema nimemempita miaka 3 lakini almost naona tuko same..!
 
All the best mkuu.Wanasema za kuambiwa changanya za kwako.Sasa vijana wengi wanabeba tuu..

Wazee wa zaman walikua na sababu zao za kuoa wanawake umri sawa na watoto wao.Sababu ambazo ni tofaut sana na wakat tulio nao sasa.Moja ya sababu ni life span/expactancy yetu na wao ni tofaut kabisaa
 
Haya mambo wakati mwingine Mungu tu ndo anaingilia kati.
Kwa umri wangu huu na nilivyochelewa kuoa mpaka nakuja kugutuka isingekuwa rahisi kumpata age mate wa kumuoa asiyekuwa frustrated. Zaidi tu ningeangukia labda kwa li single mama!!
Lakini namshukuru Mungu nimeopoa mke naemzidi 16+ yrs ana akili za maisha ananipenda.
Mwanzo nilipata tabu kwendana nae lakini sahzi tume mingle fresh na is a good mother to my two kids na sitaki kumzalisha sana. Siku zote namuona kama ua macho pangu na hunifanya nijione as if kuzeeka itachukua muda sana!
 
Tamaa

Tamaa tu, ana miaka 42 anavutiwa na mabinti wa mike 30, kwa hiyo kama alioa na miaka 27 anapaswa aoe mtoto wa miaka 17.

Umri mzuri wa kupishana ni kati ya miaka 2 hadi mitano, reasonable, cha Muhimu, ni kuacha tu tamaa.

Hata babu wa miaka 76 anavutiwa na binti wa miaka 25, issue ni nidhamu na kujua kwamba mda umekutupa mkono.
 
Hapa nimepata jibu kwanini mtume alioa binti wa miaka 9.
 
Huyo bado ni rika lako. I'm wishing you all the best.
 
Anyway hii ni great motivation na inastahili kongole je mlipata mtoto mkiwa bado chuo? maana nikirudi kwenye uhalisia sijui ni typing error au miscalculations ila numbers don't lie hapa kuna takwimu hazi-add up
 
Utamsimulia story za Akili akilii wa TBC
 
Bado mnajiuliza ni kwa nini babu zetu walikua wanaoa mke zaidi ya mmoja, majibu yake ndio hayo, huyo aliyefikisha 40 unampandisha cheo, then unamtafutia msaidizi mwenye 30 years, mmoja anakuwa manager mwingine CEO familia inastawi vyema kabisa
 
Anyway hii ni great motivation na inastahili kongole je mlipata mtoto mkiwa bado chuo? maana nikirudi kwenye uhalisia sijui ni typing error au miscalculations ila numbers don't lie hapa kuna takwimu hazi-add up
Mwaka wa kwanza tu braza..2011 august tulizaa mtoto wa kwanza ..😄..watoto wa leo wanachangamka mapema na shule now days they dont care umri kama mtoto anao uelewa so tulim enroll shele mapema sanaa.she is now 12 kidato cha kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…