Wanawake wanawahi kuchoka, Mwanaume unatoa wapi ujasiri wa kuoa mwanamke mnayelingana umri?

KATAA NDOAπŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•
 
Sasa mimi nazungumzia kipengele hicho hicho cha genye unachoona ni kidogo, katika hizo hizo siku chache tutakazofanya mapenzi ndo nazungumzia.

kitu kingine ni ubichi wa mwanamke, akiwa mbichi anavutia, tukilingana atawahi kuchuja.
 
Sikuumbwa kuishi kwa mateso kwa sababu ya mtu fulani. Nitampiga nimvunjilie mbali.
Kuna namna ya kumpa discipline mwanamke kumrudisha kwenye mstari bila kumvunja, vibao vya kelbu vinamtosha sana.

Ila nakushauri ogopa sana binadamu unapiga mtoto wa mtu halafu anazimika, aisee unaitafuta jela na ukiweza kuponyoka jela kwa ujanja wowote ule familia yake watakumaliza kwa njia nyingine.

Kama unajiona huwezi kudeal na wanawake ishi mwenyewe, Nunuwa ngono kwa madada powa lakini faida yake utaiona baadaye ukipata changamoto inahitaji kuangalia na kupikiwa ndio utajuwa mke ana nafasi gani maishani.
 
Mumeo ana cheo cha U-padre au ni jina tu?! πŸ€”πŸ€”πŸ€”

Inamaana kumbe padre anaruhusiwa kuoa na kuwa na mtoto/watoto?!

Yupo timamu kiakili na maisha yenu hayana misukosuko?! Nasikiaga Padre akiasi au kusaliti upadre kwa kuvunja masharti lazima aharibikiwe...ndomana nime-double question Mama mkwe mama mndenyi πŸ˜…πŸ‘πŸΎ
Huyo fred tu hakumpenda mkewe tokea mwanzo.

Hayo magonjwa nyemelezi umri wa miaka 40 yanatoka wapi? Labda kama hujitunzi tu yaani kula hovyo na kuwa legelege

Mbona Padre ananipenda hivi wakati tuna umri wenye tofauti kubwa ?
 
Mapadre wa Anglican wanaowa.
 
[emoji3][emoji3] sio sijaelewa, kasema huyo wa 40yrs unampandisha cheo, nakumletea msaidizi mweye 30yrs, sasa nauliza kama huyo 1 humuwezi wakiwa wawili si utakuwa kichaa?

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Hujamuelewa jamaa umekurupuka kujibu. Kuna sababu nyingi za kumpumzisha mwanamke na kumletea mwenzake. . . . . Haimanishi kwamba humuwezi au jamaa hamuwezi
 
Kwahiyo issue hapo mke wa Fred havutii?
Je, kwanini wanaume wengi hufa mapema kuliko wake zao ?
Mke anaishi miaka 20 mpaka 30 baada ya mume kufa.
Ungeshauri tuoe wanawake waliotuzidi angalau miaka 10 ili tumalize nao mwendo
Sasa mkifa wote nani anabaki na watoto
 
Sahihi kabisa boss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…