Wanawake wasomi hawaolewi kwa sababu hizi...

[emoji419]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake au Mabinti wa siku hizi wana shida sana yaani, kuna Binti alinikuta Mkoa X nafanya kazi kwenye kampuni ya Internet Service Provider, kipindi hicho alikuwa Form two tulijuana kutokana na connection ya Jamaa ambaye alisema niwapokee wamekuja kwa ajili ya Study Tour, niliwapokea na Wenzake wakafanya Study Tour kwa Siku tano baada ya hapo wakaondoka na akawa amechukua namba zangu after 2 years akaja tena kwenye Tour Studyna Wenzake alikuwa ndio anamaliza form four, sasa baada ya miaka miwili akanikaribisha kwao baada ya Mimi kuwa nimerudi kutoka sehemu niliyokuwa nafanya kazi na yeye ndio alinitongoza mpaka akawaambia baadhi ya ndugu zake mpaka Baba yake na nilikuwa napata heshima. Sasa huyo binti akawa amefaulu kwenda Chuo X kusomea masuala ya Engineering yupo Mwaka wa pili akawa ananiuliza hivi umesoma chuo gani? Nikamwambia SIKUSOMA UDSM, UDOM, DIT Wala MUST lakini kazi zangu unazijua na huwa nilikuwa napata sifa mpaka mitandaoni na ulikuwa unaona. Baada ya kauli ile akajifanya ameboreka na Mimi nikapotezea akaja ku graduate akapata kazi na alikuwaanapiga simuu tunaongea na ana view status zangu na Ku Comment huko mitandao ya Kijamii lakini hisia za mapenzi hakua nazo tena kwangu na Mimi kwa sababu alianza kunitongoza mwenyewe nikaamua kupotezea. Kwa kifupi sasa hivi ni Single Mother na alizalishwa na Taxi Driver kwa taarifa zilizopo na aliyemzalisha naye hana mbele wala nyuma. Nadhani hii elimu kwa baadhi ya Mabinti huwa inawazuzua na mwisho wao huwa ni mbovu sana. Mimi kama Mwanamume nipo sikusoma Chuo kikuu bado thamani yangu inazidi kuongezeka sasa Yeye graduate mwenye degree ya Engineering ana mtoto ambaye baba haeleweki.
 
Hata asipokuwa msomi still uzeeni wanawake ndio wafaidika. Alee asilee matunda atakula yeye zaidi.
Mama atakatiwa tiketi ya ndege aje kusalimia wajukuu, we utaachwa ulindwe shamba.
Watoto wakija likizo, mama yao atapewa 350000 KWA siri wewe utapewa elf 50.
Then hio hio hamsini mke ataichukua kwa matumizi.
Mwanamke yeyeto hata awe single mama mtaji wake ni watoto, hawawezi mtupa lakini wewe baba ni bahati nasibu, usipojipanga mapema uzee utakula pekee yako.
Wanawake waache ubinafsi, tunawapa watoto, tunalelea watoto, matunda wao ndio ula.
Mwanaume ni kama bulldozer baada ya barabara kuisha ni maarufuku kuitumia.
 
Hata hao feminist, masingle mama, wanawake wapumbavu waliozichezea ndoa wakifika miaka ya kuwa na akili yaani kuanzia 45 kuendelea, huwa wanajutia Sana maamuzi yao.
Wanasongwa Sana na upweke, wawili ni wawili tu maisha changamoto ni rahisi kushauriana mkiwa wawili
 
Hii hali kwasasa imekuwa ni tishio mnooo, natamani turudie uzamani. Kuna baadhi ya mambo ilikuwa ni ngumu kukuta mwanamke anashiriki.
 
Huna akili wewe hako ka degree ka procurement unaolewa hata na mpiga debe.
Hapa naongelea mwanamke mwenye elimu yake ambaye ni HR ggm au Pale BOT.
Wewe wa procurement humsumbui hata mpiga debe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…