Kentsuhcy Wrudate
JF-Expert Member
- Aug 20, 2019
- 1,075
- 653
[emoji419]Feminists wanadhohofisha masculinity lakini. Wanataka wanaume wawe masimp, afu baadae wanashangaa kwann hawaoni masculine men... haha
Mm kiukweli nasupport equal rights and opportunities kwa mwanaume na mwanamke, ila ushaona feminists walipofikia sasa? Wanataka kuvuka mipaka sasa. Unakuta leo wanadai kua mwanamke na mwanaume wote ni sawa alafu kesho wanadai kua wanawake wawe wanapewa 'period leave' kila mwezi. Halafu wanadai kua wanawake walipwe zaidi kwasababu "they're going through alot". Boss gani sasa akuajiri mahudhurio yako yawe machache halafu eti akulipe zaidi mwisho wa siku? Ifike mahala feminists wakubal tu kua wanaume na wanawake hatuko sawa na hatuwezi kua sawa. Hakuna aliebora kuliko mwenzie, ila hatuko sawa tu...
Sent using Jamii Forums mobile app