Hakuna usawa wa mwanamke vs mwanamume..
Mwanamume ni mwanamume na mwanamke ni mwanamke.
Usawa kwenda mambo rahisi rahisi tu, yakishakuwa magumu utasikia wanatafutwa wanaume..
Waanze basi nao kuchimba makaburi, waanze basi nao kushuka makaburini kupokea miili au kushika kamba kushusha majeneza.
Waaze basi nao kuwa wavuvi wa samaki deep sea huko na mitumbwi au ngalawa zao, waanze basi nao kuwa mabaharia dip sea kwenye mitemba tuone meli ikiwa na akinamama tupu imebeba contena, waanze basi kwenda vitani walishika bunduki na mizinga, Waanze basi kubeba mizigo masokoni na mashambani, waanze basi kuingia migodini chini huko na kurun operations..... Maumbile ya mwanamke ni yamwanamke tu...