Wanawake wengi huondoka na Watoto wakidhani Wanaume watawafuata. Sijui nani aliwadanganya kuwa Mwanaume mtego wake ni Mtoto.

SIKU ZOTE MWANAMKE UDANGANYWA NA UPUMBAVU WAKE MWENYEWE ...
 
Ni kweli 90% wanawake hawawezi kulea mtoto akafanikiwa kwenye kazi za maana. Labda mziki tu.ila single mama wengine wanaharibu sana watoto
 
Wanang'ang'ania kukaa na mtoto ili amfanye kitega uchumi. Ifike hatua sheria ziangaliwe upya. Mzazi anaekaa na mtoto ndio anawajibika na bill zote za malezi
Hapa unaongopa kabisa, wababa wengi tu wamekimbia familia wamerudi watoto wana shule zao, wakifika wanaanza kujichekesha.
 
Ni kweli 90% wanawake hawawezi kulea mtoto akafanikiwa kwenye kazi za maana. Labda mziki tu.ila single mama wengine wanaharibu sana watoto
Ukweli mtupu hata wajane ni hivyo hivyo labda baba afariki watoto wakiwa tayari na muelekeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…