Wanawake wengi siku hizi hawana akili. Pima akili yake kabla hujadate/zaa naye

Wanawake wengi siku hizi hawana akili. Pima akili yake kabla hujadate/zaa naye

Wanawake mnisamehe nimenukuu kwa mtu.
Pana jamaa ana mke Jinni kabisa na amezaa nae mtoto mmoja hadi leo yupo, ukitaka unampata muulize.
Anasema huwa anapiga story za kawaida tu na mke wake jinni. Akimuulizia habari zao, makazi yao, tabia na mengine.
Nanukuu baadhi ya story Jinni akamwambia jamaa.
1.Jinni wa kawaida ana akili ya juu mara tatu zaidi ya mwanadamu mwenye akili za juu.
2.Kwann wanadamu wengi awafanikiwi jibu wengi wapo mbali na Mungu, wao majinni wanafanya Sana ibada kumuomba MUNGU.
3.Mwanamke wa kibinadamu mwenye umri wa miaka 45 angalau uwezo wake wa akili ni SAwa na mtoto Mdogo wa kiume.
4.Mtu yeyeto anaependa Sana kukojolewa hawezi kuwa na akili sana.
Hapa narefer huwezi kuta shoga au malaya akawa smart kichwani huwa waruwaru,nati zimelegea.
 
Huyo jini kasema uongo mtupu

Wapo majini mapopoma kuliko wanaadamu

Zipo story kuwa kuna kabila la majini huko majangwani wao shughuli zao ni kuwaingia wanaadamu kupitia nyayo zao

Yani ukilala jangwani nyayo zinaonekana wanakuja wanakuingia

Ila dawa yao ni kujifunika tu nyayo hizo

Wakija wakikuta zimefunikwa hawajui jinsi ya kuingia wanaenda zao

Wapo wanaadamu wana akili nyingi kuliko majini
 
Hivi mnavyotusema na kututenga sisi wanawake tusio na akili mnategemea tuendelee kuwa singo milele?

Ni huzuni kwakweli 💔💔
 
Hivi mnavyotusema na kututenga sisi wanawake tusio na akili mnategemea tuendelee kuwa singo milele?

Ni huzuni kwakweli 💔💔
🤣🤣🤣🤣 Umeongea kwa uchungu sana. Haya basi mtapata pia wanaume wa kuwavumilia....
 
Hakuna mwanamke mwenye akili dunian ,na ukijiona unamuamini mwanamke umefiriska ubongo ,note....ishiini nao kwa akili
 
Bwana mdogo analalamika kuwa mke wake ni mpumbavu sana. Wakipishana kidogo anaenda Mpost Instagram anaomba ushauri. Au anaanza kuandika status za ajabu ajabu...

"Ama kweli nimeamini ndoa ndoano, mungu nisaidie mimi mja wako"

"Hivi jamani hapa kweli nina mume?anarudi saa 4 usiku eti alikuwa kazini. Kazini hiyo kwiyooo?ananiona fala sana"

" We mungu weweeee nimekukosea nini mimi jamani nq uzuri wangu huu"

"Ukiona cha nini wenzio wanasema nitakipata lini"

Jamaa anasema mke wake hana akili kabisa. Na anajuta kuoa mke wa hovyo hivyo. Nikakumbuka kuna wadada pia wakigombana na wenzi wao wanakuja kuanzisha uzi huku.

"We mbwa rudisha mtoto wangu...hunijui eeeh"

" Baba siwajui kaondoka na kuniachia uja uzito nifanyeje"

" Jamani nimechanganyikiwa kaondoka na mtoto wangu bila taarifa"

Unajua tu hapa mke au mate wangu Dish limeyumba. Kuna mambo ya kushare na kuna mambo mnamalizana humo humo. Tabia za kutushirikisha kila jambo ila wakati mnagegedana hamkutushirikisha si sahihi.

Andikeni nyuzi kuwa

" Kesho naenda kugegedwa karibuni wajameni nanyi mpate kitu angalau kidogo"

" Nimepta demu mkali mwenye muda kesho saa 4 aje kisamvu guest house"
Hahaha
 
Back
Top Bottom