Wanawake wengi siku hizi hawana akili. Pima akili yake kabla hujadate/zaa naye

Wanawake mnisamehe nimenukuu kwa mtu.
Pana jamaa ana mke Jinni kabisa na amezaa nae mtoto mmoja hadi leo yupo, ukitaka unampata muulize.
Anasema huwa anapiga story za kawaida tu na mke wake jinni. Akimuulizia habari zao, makazi yao, tabia na mengine.
Nanukuu baadhi ya story Jinni akamwambia jamaa.
1.Jinni wa kawaida ana akili ya juu mara tatu zaidi ya mwanadamu mwenye akili za juu.
2.Kwann wanadamu wengi awafanikiwi jibu wengi wapo mbali na Mungu, wao majinni wanafanya Sana ibada kumuomba MUNGU.
3.Mwanamke wa kibinadamu mwenye umri wa miaka 45 angalau uwezo wake wa akili ni SAwa na mtoto Mdogo wa kiume.
4.Mtu yeyeto anaependa Sana kukojolewa hawezi kuwa na akili sana.
Hapa narefer huwezi kuta shoga au malaya akawa smart kichwani huwa waruwaru,nati zimelegea.
 
Huyo jini kasema uongo mtupu

Wapo majini mapopoma kuliko wanaadamu

Zipo story kuwa kuna kabila la majini huko majangwani wao shughuli zao ni kuwaingia wanaadamu kupitia nyayo zao

Yani ukilala jangwani nyayo zinaonekana wanakuja wanakuingia

Ila dawa yao ni kujifunika tu nyayo hizo

Wakija wakikuta zimefunikwa hawajui jinsi ya kuingia wanaenda zao

Wapo wanaadamu wana akili nyingi kuliko majini
 
Hivi mnavyotusema na kututenga sisi wanawake tusio na akili mnategemea tuendelee kuwa singo milele?

Ni huzuni kwakweli πŸ’”πŸ’”
 
Hivi mnavyotusema na kututenga sisi wanawake tusio na akili mnategemea tuendelee kuwa singo milele?

Ni huzuni kwakweli πŸ’”πŸ’”
🀣🀣🀣🀣 Umeongea kwa uchungu sana. Haya basi mtapata pia wanaume wa kuwavumilia....
 
Hakuna mwanamke mwenye akili dunian ,na ukijiona unamuamini mwanamke umefiriska ubongo ,note....ishiini nao kwa akili
 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…