Habarini,
Katika pita pita zangu mtandaoni insta, nimeona wanaume wengi wakijadiliana kuwa wameombwa na wachumba zao girlfriend allowance, shida yao kubwa ikiwa sio kuombwa hio girlfriend allowance, shida ni kuwa wadada wanaoomba hio girlfriend allowance, hawatoi walau ushauri wowote kwenye kuitafuta hio hela zaidi ya ku spend tu
Kwa wasiojua definition, girlfriend allowance, hio ni hela fixed ambayo mwanaume atakua anampa girlfriend wake kila mwezi (Yani unampa kwasababu tu yeye ni girlfriend wako), ukiachana na vizinga vingine atakavokupiga
Kwenye comments nimeona wadada wengi waki support suala la girlfriend allowance huku wakiwa na points hizi:
1) kama mwanaume hataki kutoa girlfriend allowance basi asiombe sex
2) Wanaume siku hizi wanakimbia majukumu (probably hayo ya kulipa girlfriend allowance) ndo maana wanageuzwa, na maneno mengine makali..
Wanaume mnaotoa girlfriend allowance/mliowahi kuombwa girlfriend allowance njooni mtupe experience yenu.