Hilo ni neno! ukitaka ukwepe stress kutoka kwa mwanamke usitangulize hisia mbele (utalia, utawaza, utakosa usingizi), tanguliza akili mbele, mwanamke akizingua piga chini poteza endelea na maisha mengine. Ukiendekeza utabebeshwa mizigo ya vizinga hadi ukome!Hawa wanawake wengine wa hivi sijui mnawaokoteaga wapi!, mbona uku vijijini kuna wanawake wazuri hawana mambo menge kama hayo!, ukitaka kuwamaintain hawa viumbe usiendekeze hisia mbele, tumia akili kwenye kufanya maamuzi!.
Siku zote anayeombwa hiyo allowance ni yule anayemiliki kibamia na kwamba anatambuliwa na raisi wa vibamia nchini mzabzab.
Hiyo wanaombwa wanaume mabwegeHabarini,
Katika pita pita zangu mtandaoni insta, nimeona wanaume wengi wakijadiliana kuwa wameombwa na wachumba zao girlfriend allowance, shida yao kubwa ikiwa sio kuombwa hio girlfriend allowance, shida ni kuwa wadada wanaoomba hio girlfriend allowance, hawatoi walau ushauri wowote kwenye kuitafuta hio hela zaidi ya ku spend tu
Kwa wasiojua definition, girlfriend allowance, hio ni hela fixed ambayo mwanaume atakua anampa girlfriend wake kila mwezi (Yani unampa kwasababu tu yeye ni girlfriend wako), ukiachana na vizinga vingine atakavokupiga
Kwenye comments nimeona wadada wengi waki support suala la girlfriend allowance huku wakiwa na points hizi:
1) kama mwanaume hataki kutoa girlfriend allowance basi asiombe sex
2) Wanaume siku hizi wanakimbia majukumu (probably hayo ya kulipa girlfriend allowance) ndo maana wanageuzwa, na maneno mengine makali..
Wanaume mnaotoa girlfriend allowance/mliowahi kuombwa girlfriend allowance njooni mtupe experience yenu.
Wako Bize Mitandaoni tu hawwtaki kufanya kazi na maisha ya kuigiza wanategemea kuhongwa tu, watafumukiwa hizo speakerHabarini,
Katika pita pita zangu mtandaoni insta, nimeona wanaume wengi wakijadiliana kuwa wameombwa na wachumba zao girlfriend allowance, shida yao kubwa ikiwa sio kuombwa hio girlfriend allowance, shida ni kuwa wadada wanaoomba hio girlfriend allowance, hawatoi walau ushauri wowote kwenye kuitafuta hio hela zaidi ya ku spend tu
Kwa wasiojua definition, girlfriend allowance, hio ni hela fixed ambayo mwanaume atakua anampa girlfriend wake kila mwezi (Yani unampa kwasababu tu yeye ni girlfriend wako), ukiachana na vizinga vingine atakavokupiga
Kwenye comments nimeona wadada wengi waki support suala la girlfriend allowance huku wakiwa na points hizi:
1) kama mwanaume hataki kutoa girlfriend allowance basi asiombe sex
2) Wanaume siku hizi wanakimbia majukumu (probably hayo ya kulipa girlfriend allowance) ndo maana wanageuzwa, na maneno mengine makali..
Wanaume mnaotoa girlfriend allowance/mliowahi kuombwa girlfriend allowance njooni mtupe experience yenu.
Hahhaa,..... Kweli lakini ni muhimu mwwnaume kutambua nafasi yako, toa huduma lakini sio za mashartiSiku zote anayoombwa hiyo allowance ni yule anayemiliki kibamia na kwamba anatbuliwa na raisi wa vibamia nchini mzabzab.
Ukiwa na bonge la dushelele na unamfikisha demu katika kilele basi hiyo allowance anaitoa yeye na kukupa wewe.
Duh huko Dar salamaa kazi mnayo,mbona huku kijijini sisi boda boda tunawala mademu zenu na hela wanatupa?.Siku zote anayoombwa hiyo allowance ni yule anayemiliki kibamia na kwamba anatbuliwa na raisi wa vibamia nchini mzabzab.
Ukiwa na bonge la dushelele na unamfikisha demu katika kilele basi hiyo allowance anaitoa yeye na kukupa wewe.
Nakubali mkuu.Hahhaa,..... Kweli lakini ni muhimu mwwnaume kutambua nafasi yako, toa huduma lakini sio za masharti
Kweli kabisa. Ukishakuwa mtombi haswa hakuna mwanamke wa kukuomba pesa.Duh huko Dar salamaa kazi mnayo,mbona huku kijijini sisi boda boda tunawala mademu zenu na hela wanatupa?.
Vjijini wapiHawa wanawake wengine wa hivi sijui mnawaokoteaga wapi!, mbona uku vijijini kuna wanawake wazuri hawana mambo menge kama hayo!, ukitaka kuwamaintain hawa viumbe usiendekeze hisia mbele, tumia akili kwenye kufanya maamuzi!.
Kufikishwa kileleni kwa mwanamke au kumridhisha hakuhusiani na ukubwa wa uumeSiku zote anayoombwa hiyo allowance ni yule anayemiliki kibamia na kwamba anatambuliwa na raisi wa vibamia nchini mzabzab.
Ukiwa na bonge la dushelele na unamfikisha demu katika kilele basi hiyo allowance anaitoa yeye na kukupa wewe.
Mbona umeongea kwa hasira sana masta 😂 Bush DoktaWako Bize Mitandaoni tu hawwtaki kufanya kazi na maisha ya kuigiza wanategemea kuhongwa tu, watafumukiwa hizo speaker
Ndio mkuu yameshanikuta ukiona hivyoMbona umeongea kwa hasira sana masta 😂 Bush Dokta